Nisaidie maelezo rahisi ya Square meter( m²)

Nisaidie maelezo rahisi ya Square meter( m²)

Square(mraba) uwe na urefu na upana wa mita moja
Inamaana sasa kama eneo ni la 100m²,maana yake lina miraba 100 yenye urefu na upana wa mita moja kila mmoja.
Upo sahihi, ila maelezo yako hayako simple enough kwake
 
Back
Top Bottom