Y yusuph2012 New Member Jun 21, 2012 1 0 Jun 21, 2012 #1 jamnii samahanini naombeni mnisaidie nataka kujiunga na chuo cha IT uwe na sifa zipi nimemaliza form four mwaka jana samahanini viongozi tujuzane
jamnii samahanini naombeni mnisaidie nataka kujiunga na chuo cha IT uwe na sifa zipi nimemaliza form four mwaka jana samahanini viongozi tujuzane
Nyaluhusa87 JF-Expert Member Oct 14, 2011 1,303 262 Jun 21, 2012 #3 yusuph2012 said: jamnii samahanini naombeni mnisaidie nataka kujiunga na chuo cha IT uwe na sifa zipi nimemaliza form four mwaka jana samahanini viongozi tujuzane Click to expand... unataka chuo kipi na umepataje matokeo yako ya o'level ili 2jue uanzie ngazi ya cheti au diploma?
yusuph2012 said: jamnii samahanini naombeni mnisaidie nataka kujiunga na chuo cha IT uwe na sifa zipi nimemaliza form four mwaka jana samahanini viongozi tujuzane Click to expand... unataka chuo kipi na umepataje matokeo yako ya o'level ili 2jue uanzie ngazi ya cheti au diploma?
TZ boy JF-Expert Member Jan 11, 2012 625 181 Jun 21, 2012 #4 yusuph2012 said: jamnii samahanini naombeni mnisaidie nataka kujiunga na chuo cha IT uwe na sifa zipi nimemaliza form four mwaka jana samahanini viongozi tujuzane Click to expand... masikini mko kama 3000 na cjui mtafanya kazi wapi kilala kheri jaribu IFM, DIT, CBE ,UCC etc!
yusuph2012 said: jamnii samahanini naombeni mnisaidie nataka kujiunga na chuo cha IT uwe na sifa zipi nimemaliza form four mwaka jana samahanini viongozi tujuzane Click to expand... masikini mko kama 3000 na cjui mtafanya kazi wapi kilala kheri jaribu IFM, DIT, CBE ,UCC etc!
L london JF-Expert Member Sep 12, 2010 221 143 Jun 22, 2012 #5 UDOM certificate/diploma ila uwe umefaulu hesabu