nisaidie kujua jinsi ya kujiunga na Chuo cha IT ume na sifa zipi kama umemaliza form four | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nisaidie kujua jinsi ya kujiunga na Chuo cha IT ume na sifa zipi kama umemaliza form four

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by yusuph2012, Jun 21, 2012.

 1. y

  yusuph2012 New Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 21, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamnii samahanini naombeni mnisaidie nataka kujiunga na chuo cha IT uwe na sifa zipi nimemaliza form four mwaka jana samahanini viongozi tujuzane
   
 2. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Chuo gani unataka?
   
 3. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  unataka chuo kipi na umepataje matokeo yako ya o'level ili 2jue uanzie ngazi ya cheti au diploma?
   
 4. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  masikini mko kama 3000 na cjui mtafanya kazi wapi kilala kheri jaribu IFM, DIT, CBE ,UCC etc!
   
 5. l

  london JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 12, 2010
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  UDOM certificate/diploma ila uwe umefaulu hesabu
   
Loading...