Iyokopokomayoko
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,785
- 444
Angalia hapo kwenye 'dont remember password' ukiclick watakutumia password yako kwenye email.
Hamia twitta
Wakuu,
Kwenye fb account yangu nili-enable security code kwa kutumia namba ya simu. Sasa machine imekuwa formated kwahiyo browser ni mpya na siwezi log in fb mpaka nitumiwe code yao, shida ni kuwa sms yao haiwi derivered kwenye simu yangu na hii ni siku ya 2.
Kuna lolote naweza fanya kutatua hili?. Nimejaribu kufuta sms karibu zote katika simu still fb hawafikishi sms code.
Kuna tatizo FB kwa mda mrefu sasa la kutuma verification code. Inabidi uliripoti kwao ili waweze kulifanyia kazi.
Password siwezi kusahau. Ni kuwa ili ni-log in pamoja na kuweka user name na password, bado kuna code lazima nitumiwe kwenye simu, imekaa kiulinzi zaidi najuwa wapo wanaonielewa.
Ohoo. Hiyo ya simu hata mie nilishawahi kukwama kwenye gmail. Angalia codes zile za ajabu ajabu. Keep trying hadi wakupe rahisi. Pole