Halafu nadhani ungeweka vizuri ni Ng'e au Nnge ?
Kaka hata wewe umekosea ni NGE
kumbe wakubwa nao wanakosea...
Kuna watu huwa nawaona wanaweka sh 100 pale walipong'atwa...
Kaka hata wewe umekosea ni NGE
Hhaaa tena kakosea wakati anamsahihisha aliyekosea...lol
Unaitumbukiza kwenye maziwa fresh, afu unabandika upande wa kichwa pale ulipoumwa.
Ndo usindwe kusangaa !
Kumbe? Shwari !