miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Mm ni mwanaume miaka 30 nimeoa nna mtoto 1,bado nasoma masters chuo kimoja hapa Dodoma,
mwaka huu mwez wa 4 nlikutana na msichana m1 nikiwa na rafiki yangu tukiwa kwenye gari rafiki yangu alinishawishi sana tusimame na kuongea naye baada ya mm kumsifia yule demu. Tukasmama na kumsimamisha yule manzi jamaa alikuwa anajuana naye,bas akatuelekeza wap ofice yake ilipo ili kesho yake tumtembelee kwa jthada kubwa za rafiki yangu kesho tukaenda ofisin kwake .tulipofika rafk yangu akaondoka na gari na kuniacha naye kwa ushawishi kwamba nshindwe mwenyewe.kweli nikamtongoza akakataa kwa muda but nikapata sim namba yake tukaendelea na mawasliano mpaka akakubali
4weeks later nikatembea naye tena nymbani kwangu baada ya wife kwenda likizo,kiukweli huyu mwanamke anajua malove sana.ok nilifanya makosa makubwa sana lakini haya ndo yanayonitesa
1.Ili kumpata skumwambia marital status yangu
2.Nili du naye bare mbali nayeye kusisitiza tuvae condoms sasa ameconceive preg ya 1 month sasa
3.Sasa anang'ang'ania aje home na wife amerudi namkatalia kwa kumwambia kuna watoto wa dada yangu nna kaa nao hivyo si heshima kwa yy kuja kwa sasa.Sababu hii muda unavyokwenda inapoteza uhalali kwake na kumwambia ukweli jinsi nimwonavyo sasa itakuwa balaa kias inaweza fika kwa wife kwa mtiti atakaouleta.Lakini pia aweza fanya abortion ambayo mm staki,
Sasa sielewi nfanyeje kwan naona siku anaweza kuja hom.naomba ushauri wana jf
Wewe! Una master na mke afu umefanya UPUUZI!
Anyway, kwa vile umemkosea mke wako (ambaye ni innocent) na umemkosea bint ya watu (other innocent), usifanye kosa jengine la kumkataa yeyote, coz yule mschana, ulimsifia, rafiki mnafiki akakutia matatizoni, mschana alikukataa still 4 weeks unamfatafata, moreover hakutaka kuduu kavkav. Eti 'lakini nnamke' ndio unatambua eenh! Akili zangu mbovu zingekushauri ivi:
unatakiwa kubalance, mkeo ukimwambia kinaweza kisieleweke, but kama unahis atajua tu, ni bora umwambie, huyo mschana mwengine ni LAZIMA umwambie unamke, kama vipi umkodie tu sehem nyengine, kumuacha yoyote SIO UTU HATA KIDOGO!
Huna akili kabisa. Sijui tutakushauri nini?
Kwanza ulimpima ngoma?
da punguza panic ndugu yangu.jibu ni ndio na majibu fresh.
Ila mimi wanaume za watu wengi walionitongoza na wanaonitongoza they are always upfront like IM MARRIED N LOVE MY WIFE BUT I LOVE YOU TOO! IM CRAZY ABT MY KIDS BUT IM CRAZY ABT YOU TOO! !
Mm ni mwanaume miaka 30 nimeoa nna mtoto 1,bado nasoma masters chuo kimoja hapa Dodoma,
mwaka huu mwez wa 4 nlikutana na msichana m1 nikiwa na rafiki yangu tukiwa kwenye gari rafiki yangu alinishawishi sana tusimame na kuongea naye baada ya mm kumsifia yule demu. Tukasmama na kumsimamisha yule manzi jamaa alikuwa anajuana naye,bas akatuelekeza wap ofice yake ilipo ili kesho yake tumtembelee kwa jthada kubwa za rafiki yangu kesho tukaenda ofisin kwake .tulipofika rafk yangu akaondoka na gari na kuniacha naye kwa ushawishi kwamba nshindwe mwenyewe.kweli nikamtongoza akakataa kwa muda but nikapata sim namba yake tukaendelea na mawasliano mpaka akakubali
4weeks later nikatembea naye tena nymbani kwangu baada ya wife kwenda likizo,kiukweli huyu mwanamke anajua malove sana.ok nilifanya makosa makubwa sana lakini haya ndo yanayonitesa
1.Ili kumpata skumwambia marital status yangu
2.Nili du naye bare mbali nayeye kusisitiza tuvae condoms sasa ameconceive preg ya 1 month sasa
3.Sasa anang'ang'ania aje home na wife amerudi namkatalia kwa kumwambia kuna watoto wa dada yangu nna kaa nao hivyo si heshima kwa yy kuja kwa sasa.Sababu hii muda unavyokwenda inapoteza uhalali kwake na kumwambia ukweli jinsi nimwonavyo sasa itakuwa balaa kias inaweza fika kwa wife kwa mtiti atakaouleta.Lakini pia aweza fanya abortion ambayo mm staki,
Sasa sielewi nfanyeje kwan naona siku anaweza kuja hom.naomba ushauri wana jf
Mm ni mwanaume miaka 30 nimeoa nna mtoto 1,bado nasoma masters chuo kimoja hapa Dodoma,
mwaka huu mwez wa 4 nlikutana na msichana m1 nikiwa na rafiki yangu tukiwa kwenye gari rafiki yangu alinishawishi sana tusimame na kuongea naye baada ya mm kumsifia yule demu. Tukasmama na kumsimamisha yule manzi jamaa alikuwa anajuana naye,bas akatuelekeza wap ofice yake ilipo ili kesho yake tumtembelee kwa jthada kubwa za rafiki yangu kesho tukaenda ofisin kwake .tulipofika rafk yangu akaondoka na gari na kuniacha naye kwa ushawishi kwamba nshindwe mwenyewe.kweli nikamtongoza akakataa kwa muda but nikapata sim namba yake tukaendelea na mawasliano mpaka akakubali
4weeks later nikatembea naye tena nymbani kwangu baada ya wife kwenda likizo,kiukweli huyu mwanamke anajua malove sana.ok nilifanya makosa makubwa sana lakini haya ndo yanayonitesa
1.Ili kumpata skumwambia marital status yangu
2.Nili du naye bare mbali nayeye kusisitiza tuvae condoms sasa ameconceive preg ya 1 month sasa
3.Sasa anang'ang'ania aje home na wife amerudi namkatalia kwa kumwambia kuna watoto wa dada yangu nna kaa nao hivyo si heshima kwa yy kuja kwa sasa.Sababu hii muda unavyokwenda inapoteza uhalali kwake na kumwambia ukweli jinsi nimwonavyo sasa itakuwa balaa kias inaweza fika kwa wife kwa mtiti atakaouleta.Lakini pia aweza fanya abortion ambayo mm staki,
Sasa sielewi nfanyeje kwan naona siku anaweza kuja hom.naomba ushauri wana jf
na hakikisha mkeo hajui maana akijua ndo mwisho wa ndoa yako maana mna mtoto mmoja tuu hivyo hatakubali kuzinguliwa na wewe, hii ji kama unataka ndoa yako iendelee maana ujue pia mkeo kuna mwanaume wa haja mwenye pesa zake anamsumbua mkeo amkubalie ila kwa heshima na mapenzi yako mkeo anamfungia vioo na kumuwekea headphones masikioni yaani anakuona na kukusikiliza wewe tuu sasa kijua umemmimbisha mtu ujue mke huna ataondoka na mwanae akuachie manzi wako,
ndio tatizo la kubalehe ukubwani ,wewe una mke unapleka malaya nyumbani afu bare dah! we kiboko .........sasa mwambie ukweli kuwa una mke !Mm ni mwanaume miaka 30 nimeoa nna mtoto 1,bado nasoma masters chuo kimoja hapa Dodoma,
mwaka huu mwez wa 4 nlikutana na msichana m1 nikiwa na rafiki yangu tukiwa kwenye gari rafiki yangu alinishawishi sana tusimame na kuongea naye baada ya mm kumsifia yule demu. Tukasmama na kumsimamisha yule manzi jamaa alikuwa anajuana naye,bas akatuelekeza wap ofice yake ilipo ili kesho yake tumtembelee kwa jthada kubwa za rafiki yangu kesho tukaenda ofisin kwake .tulipofika rafk yangu akaondoka na gari na kuniacha naye kwa ushawishi kwamba nshindwe mwenyewe.kweli nikamtongoza akakataa kwa muda but nikapata sim namba yake tukaendelea na mawasliano mpaka akakubali
4weeks later nikatembea naye tena nymbani kwangu baada ya wife kwenda likizo,kiukweli huyu mwanamke anajua malove sana.ok nilifanya makosa makubwa sana lakini haya ndo yanayonitesa
1.Ili kumpata skumwambia marital status yangu
2.Nili du naye bare mbali nayeye kusisitiza tuvae condoms sasa ameconceive preg ya 1 month sasa
3.Sasa anang'ang'ania aje home na wife amerudi namkatalia kwa kumwambia kuna watoto wa dada yangu nna kaa nao hivyo si heshima kwa yy kuja kwa sasa.Sababu hii muda unavyokwenda inapoteza uhalali kwake na kumwambia ukweli jinsi nimwonavyo sasa itakuwa balaa kias inaweza fika kwa wife kwa mtiti atakaouleta.Lakini pia aweza fanya abortion ambayo mm staki,
Sasa sielewi nfanyeje kwan naona siku anaweza kuja hom.naomba ushauri wana jf
Mkubwa umerikologa pole kwa mkasa huo,kwa sasa ngoja niweke lawama pembeni,Mm ni mwanaume miaka 30 nimeoa nna mtoto 1,bado nasoma masters chuo kimoja hapa Dodoma,