Nisaidaeni ushauri wa kisheria na kimaadili wana Jamii forums

Kosa ni kosa kakangu,kitendo ushaa kitende ambalo ni kosa na kwanza kabisa nakupongeza kwa utu wako wakutotaka kumtoa uhai mtoto ambaye atajitokeza hivi karibuni.Wakati huu kwako mwenzangu ni wakati wastahili kuonyesha utu,ujasiri,uanaume,na upole,kweli wewe ni binadamu kama mimi na wale wengine wanao kupa ushauri,sote tuna dosari mbalimbali ni viletu sijakueleza yangu.Kwako nina neno moja tu, Kama umempenda bindi huyo skiza pia msimamo wake ingawaje kumuowa itabidi muelewane na mzazi mamake na tayari alikuwa mpenzi wako,....ama muingize huyu dem box asemesijui na umweleze kwamba mamako pia nishampenda wakati mmoja na hata yeye atahisi vile unavyo hisi hivyo itakuwa aibu kumweleza mtu yeyote kwake
Du,umenipa ushauri mzuri sana ndugu yangu, nadhani kama mama yake atakubali kunisamehe,basi sitafanya haraka kuintroduce nia yangu ya kumuoa huyu binti ili ku allow time huenda akaanza yeye mwenyewe kuniuliza ninampango gani na binti huyo after all these series of events. hapo ndipo nitakapotake advantage...... imekaaje hio....?
 
Huyo binti kamaliza form six? Maana naona kama unaongeza kosa kwa kukatiza ndoto zake za elimu, maana ingekuwa kama siyo ujauzito, issue ilikuwa rahisi sana, sasa huo ujauzito. N uwe mwangalifu maana kama mama mliachana kwa bifu anaweza sema ulianza naye wakati yupo shule, so ubakaji ulianza akiwa under 18. Japo kisheria unaweza chomoka lakini usumbufu utakuwa umepata.
Usifanye ukatili wa kukimbia mbali na mkoa wako kwa kutafuta amani yako binafsi, huo ni uchoyo mwingine. Na unauhakika gani ukiwa huko mtasahau ya kwenu? Dunia yenyewe kijiji, mtu anaweza kuwa marekani akakuondolea amani na furaha tz. Think twice juu ya maamuzi yako.
asante sana,nashukuru sana kwa ushauri, japo baada ya mama yake kujua nadhani itakuwa taabu kuonana nae mara kwa mara hapo mjini,ukuzingatia ofisi zetu zipo jirani sana na kuna possibility ya kuonana nae karibia kila siku mkuu...
 
Embu acha ujinga...yani uliyofanya hayatoshi unataka mpelekane kanisani/msikitini kabisa?!Kwa mawazo kama hayo naona kama utakua mgonjwa...unachotaka kufanya sio sawa kabisa!Sema kweli...omba msamaha...achana nae...lea mtoto na uendelee na maisha yako wakati mama na mwana wanatafuta namna ya kumaliza tofauti zao!!

Alafu acha kujifanya eti hujatake advantage kwa huyo binti maana ndicho haswa ulichofanya!Yeye anaweza kujitetea kwamba ni utoto tu ulikua unamsumbua na alikua hajui ni kwa kiasi gani sio sahihi kua na mahusiano na mwanaume ambae amewahi kulala na mama yake ila wewe ni MTU MZIMA HIVYO haswa!!Yani miaka 30 ukadhubutu kufanya ulichofanya bila kuona ubaya wake?!Nwy hakikisha huendelezi madudu yako usije ukatengeneza chuki kati ya mama na mwanae!!

Kila la kheri!
samahani sana dada kwa jinsi unavyoandika unaonekana swala hili limekukera sana,japo pamoja na madongo unayonipa but finaly unanipa ushauri. haya mambo yanatokea kwa binabamu hapahapa duniani,na pia hata mimi najutia sana,lakini to be honest nampenda sana huyu binti na nisinge penda kuwa mbali kama unavyosema niachane na mtoto wangu alelewe na baba wa kambo,namwonea huruma sana ukizingatia historia yenyewe ndo kama hii.....
 
samahani sana dada kwa jinsi unavyoandika unaonekana swala hili limekukera sana,japo pamoja na madongo unayonipa but finaly unanipa ushauri. haya mambo yanatokea kwa binabamu hapahapa duniani,na pia hata mimi najutia sana,lakini to be honest nampenda sana huyu binti na nisinge penda kuwa mbali kama unavyosema niachane na mtoto wangu alelewe na baba wa kambo,namwonea huruma sana ukizingatia historia yenyewe ndo kama hii.....

Hata mtoto akianguka kwa utundu anaambiwa makosa yake huku akibembelezwa ili asiridie tena!!Haya nenda kaoe mwanao baba....kila la kheri!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom