The Technologist
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,043
- 2,194
Mkuu vizuri, ni sahihi, Yesu ndiye Jehovah/Yahweh na nimefurahi kwamba unaujua ukweli huo.Huyo umwitaye Lord Jesus Christ ni Lord God Jehovah! Ana majina MENGI. Hata Allah, Buddha, Jah, Yahweh, yote ni yake.
Sichukulii imani kuwa suala jepesi. Ninachozungumzia ni kwamba WAZAZI HAWANA NAFASI katika kuwachagulia watoto wao waume/wake zao katika UWANDA WOWOTE ULE, iwe suala la kabila, rangi, itikadi AU DINI!!!
Upo hapo? Wanaweza kuwa na imani/dini tofauti kila mmoja akaishi kwa imani/dini yake na hakuna kinachoharibika.
Nilizaliwa kwenye "Uislam wa jina", nikaoa Mkatoliki. Nilipoingia kwenye Ukristo iikuwa jambo jepesi kuwa Mkatoliki. Mwenzangu akabadilika, ndoa ikavunjika. Nilibadilika kutoka kwenye "uritadi" (tayari nilikwisharitadi) na kuwa Mkatoliki Mpenda Yesu. Mwenzangu ALIMPENDA "Muislam wa Jina" kwa kuwa hakuujua ukweli!
SIPENDI KUMCHAGULIA MTU IMANI YAKE. Waachieni waoane kwani maisha ni yao!
NIMEMALIZA!
Achana na mabinti zetu ... Wewe huko kanisani umekosa ?
Haina shida sisi hadi 4 tunaruhusiwaKawaoe WEWE basi kama dini ni ISHU!
Mkuu vizuri, ni sahihi, Yesu ndiye Jehovah/Yahweh na nimefurahi kwamba unaujua ukweli huo.
Ila Allah ni mungu mwingine na Budha ni mungu mwingine hawana uhusiano wao kwa wao wao wala hawana uhusiano naYesu Kristo.
Unajua kila kitu kina utaratibu wake, na wazazi wanapotoa hayo maoni yao wanawasilisha utaratibu wa dini husika!
Hivi ulijua kibiblia mchina haruhusiwi kuwa na ndoa na mzungu, mwafrika haruhusiwi kuwa na ndoa na mzungu vivyo kwa mhindi, mkorea n.k.
Kama Allah angekuwa Yesu iweje aseme ktk Qurani kuwa, Yesu hakufa msalabani, kwamba ilikuwa ni mtu mwingine?
Kwamba muislamu hapaswi kuwa na rafiki mkristo?
Hao wanaokubali kuwa wanandoa ni hao unaowaita Mkristo/Muislam Jina! Mkristo/Muislam halisi na anayeijua dini yake vizuri hawezi fanya kitu kama hicho!
LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
Haina shida sisi hadi 4 tunaruhusiwa
WANNE TU? Nilidhani labda MIA!
Sawa!MENGI huyajui lakini UTAFUNGULIWA! Nitafute PRIVATELY nikuelimishe.
Hakuna kitu kama hicho, nina mfano wa ndugu zangu kama 3 walipata wanaume wa kikisto wazazi wao wakawa tenga. Cha kushangaza wao ndio wana msaada mkubwa kwa wazazi wao sasa hivi. Na wazazi wenyewe mbona walibana wakaachia. Wale waliopata waislamu wameishia kuzalishwa na ndoa zao zimevunjika . Asikuambie mtu kama binti hata kama ni muslamu kama amepata mchumba mkristo akubali tu kufunga ndoa ya bomani. Kwani inaruhusiwa kutoolewa na wasio washirikina tu . Watu tumeacha mafundisho ya Quran sababu hatuisomi.Aliwaambia wazazi wake kuhusu swala la yeye kubadili dini! Walichomjibu ni kwamba, endapo tu atafanya maamuzi hayo bac ajue wale co wazazi wake na ackanyage nyumbani kwao maishaaaaa
Pole sana Dada anguHakuna kitu kama hicho, nina mfano wa ndugu zangu kama 3 walipata wanaume wa kikisto wazazi wao wakawa tenga. Cha kushangaza wao ndio wana msaada mkubwa kwa wazazi wao sasa hivi. Na wazazi wenyewe mbona walibana wakaachia. Wale waliopata waislamu wameishia kuzalishwa na ndoa zao zimevunjika . Asikuambie mtu kama binti hata kama ni muslamu kama amepata mchumba mkristo akubali tu kufunga ndoa ya bomani. Kwani inaruhusiwa kutoolewa na wasio washirikina tu . Watu tumeacha mafundisho ya Quran sababu hatuisomi.
Mimi mwenyewe ni muhanga wa hilo, nilipata mchumba mkristo ambaye alikuwa serious nikakataa sababu ya kuogopa wazazi, nikaolewa na miaka 33 na the so called muislam mwenzangu, kumbe jamaa alikuwa ni tapeli alikuwa anaficha makucha yake. Tulikuja kuachana baada ya 5 years, na hatukuwa hata na mtoto, Imagine nina miaka 39 sijaolewa na sina mtoto. Mama ndio ananiambia ukipata mkristo olewa naye tu, sasa unaona nimepoteza muda mwingi kumbe ningeolewa na mkiristo labda ningekuwa na familia saizi. It is so painful kila nikikumbuka, yule kijana ambaye alitaka kunioa anasema yaani ulinibania kweli , sasa hivi ana mke na watoto 3. Mwanamke unatafutwa na mara nyingi bahati haiji mara mbili. Kwa wazazi wanaojielewa kamwe hawawezi kumkata binti yao kuolewa kwani mwisho wa siku ni kuishia kuzalishwa au kuishi maisha ya kutangatanga na kila mwanaume.
Umeongea maneno yamenigusa sana dada,Pole. Nimeoa muislam ila ilikua vita na ndugu zake mpaka kunikubali.Hakuna kitu kama hicho, nina mfano wa ndugu zangu kama 3 walipata wanaume wa kikisto wazazi wao wakawa tenga. Cha kushangaza wao ndio wana msaada mkubwa kwa wazazi wao sasa hivi. Na wazazi wenyewe mbona walibana wakaachia. Wale waliopata waislamu wameishia kuzalishwa na ndoa zao zimevunjika . Asikuambie mtu kama binti hata kama ni muslamu kama amepata mchumba mkristo akubali tu kufunga ndoa ya bomani. Kwani inaruhusiwa kutoolewa na wasio washirikina tu . Watu tumeacha mafundisho ya Quran sababu hatuisomi.
Mimi mwenyewe ni muhanga wa hilo, nilipata mchumba mkristo ambaye alikuwa serious nikakataa sababu ya kuogopa wazazi, nikaolewa na miaka 33 na the so called muislam mwenzangu, kumbe jamaa alikuwa ni tapeli alikuwa anaficha makucha yake. Tulikuja kuachana baada ya 5 years, na hatukuwa hata na mtoto, Imagine nina miaka 39 sijaolewa na sina mtoto. Mama ndio ananiambia ukipata mkristo olewa naye tu, sasa unaona nimepoteza muda mwingi kumbe ningeolewa na mkiristo labda ningekuwa na familia saizi. It is so painful kila nikikumbuka, yule kijana ambaye alitaka kunioa anasema yaani ulinibania kweli , sasa hivi ana mke na watoto 3. Mwanamke unatafutwa na mara nyingi bahati haiji mara mbili. Kwa wazazi wanaojielewa kamwe hawawezi kumkata binti yao kuolewa kwani mwisho wa siku ni kuishia kuzalishwa au kuishi maisha ya kutangatanga na kila mwanaume.
Ndio hivyo ndugu yangu wanawake tuna shida maana tunatafutwaUmeongea maneno yamenigusa sana dada,Pole. Nimeoa muislam ila ilikua vita na ndugu zake mpaka kunikubali.
Kama yeye mwenyewe anasema hawezi kubadili kitu gani unasubili kwakeNimeimba sana kuhusu hilo lkn yeye ananiambia kuwa amesoma dini na anaelewa vzr
Hawezi kubadili
Bila kupepesa macho wala kumung'unya maneno hapo hakuna ndoa wala maisha ya amani mbele yako zaidi ya migogoro tupu,Habari zenu wana JF, ni matumaini yangu kuwa mko pouwa!!
Lengo la kuandika huu uzi ni kutokana kushindwa kufikia maamuzi sahihi .
Kuna binti nlikutana nae mwaka mmoja umepita hadi sasa ilikuwa ni mwezi wa 6/6/2016, Muda kidogo nlianzisha uhusiano nae!
Kiukweli ninampenda na hitaji langu ikibidi awe mke wangu. Tatizo ni dini yeye ni muislam na mimi ni mkristo. Swala la imani nadhani mnalifaham jinsi lilivyo kifupi wazazi wake waliishakataa hilo swala la yeye kutaka kubadili dini na upande wangu pia ni hivyo
Kiukweli nampenda na yeye ananipenda ila hicho ndo kikwazoo
Nipo njia panda hadi sasa
[HASHTAG]#mawazo[/HASHTAG] yenu wakuu#
Unatongoza kingono ndo maana haupati ubavu wako,Mkuu cjui nina mkosi yani nikiwa kwenye uhusiano na msicha wa dini Hili yngu cdumu nae kabisa
Hakuna umakini utikanao na macho wala uchunguzi wa nje,umakini ni kumtanguliza Muumba akupe wako maana yy ndo anajua haswaaa nani ni wa nani,Pole sn ndugu...ndio maana unatakiwa uwe makini unapotaka kuanza mahusiano ila mungu atakufanyia wepesi hiyo kitu yako iendelee kumezwa na ile yake
Acha ujinga MTU habadirishwi anabadirika baada ya kuoneshwa usahihi,ukimbadirisha MTU atabadirika kwa nje na kwa muda maana asili take inabaki ile ile kwa ndani,muda ukifika ndani kutaibuka na nje kutazama,Kama yeye mwenyewe anasema hawezi kubadili kitu gani unasubili kwake
Sent using Jamii Forums mobile app