Nisadieni wakuu; Tumetofautiana imani na wazazi hawataki hata mmoja wetu abadili dini

Duuh! Aisee huna bahati,... Mimi laiti ningetaka kuwabadilisha hawa mabint wa kiislam kuwa wakristo kwa kigezo cha ndoa, ni wengi walinikubalia kwakua wanasema, wanapenda ndoa ya Mke mmoja, na thamani ya mwanamke katika ndoa za kikristo, kwani hata huyu niliyenae alikua muislam, na sasa ni mkristo saafi kabisa .... Anyway.. Sasa nikushauri tu kwamba, mwanaume habadilishi dini yake kwa ajili ya mke, hiyo ni balaa..... Sisemi hivyo kwakua wewe ni mkristo, la! Mwanamke akishapewa thamani hiyo, hujiona kapewa kapewa nguvu isiyofanana ya thamani kwenye mapenz yenu,... Thamani hiyo ndio itayompa kiburi ya kulazimisha akisemacho yeye ukisikilize na kukifanya kwakua kama amekushinda kwenye jambo la imani anaamini hakuna litakaloshindikana yeye kukunyoosha,... Mwanaume ukishasimama imara, ndoa yako itakua imara kwakua mwanaume ndio steering wa mchezo kwenye ndoa..... Usijaribu kufanya hivyo
 
Habari zenu wana JF, ni matumaini yangu kuwa mko pouwa!!
Lengo la kuandika huu uzi ni kutokana kushindwa kufikia maamuzi sahihi .
Kuna binti nlikutana nae mwaka mmoja umepita hadi sasa ilikuwa ni mwezi wa 6/6/2016, Muda kidogo nlianzisha uhusiano nae!

Kiukweli ninampenda na hitaji langu ikibidi awe mke wangu. Tatizo ni dini yeye ni muislam na mimi ni mkristo. Swala la imani nadhani mnalifaham jinsi lilivyo kifupi wazazi wake waliishakataa hilo swala la yeye kutaka kubadili dini na upande wangu pia ni hivyo

Kiukweli nampenda na yeye ananipenda ila hicho ndo kikwazoo
Nipo njia panda hadi sasa
[HASHTAG]#mawazo[/HASHTAG] yenu wakuu#
Me nikwambie ukweli hapo pa kumuoa pazito lbda akubali mwanamke mwenyew ukamuoe bomani ila wazazi wake hawatokubl milele kwasabbu sheria ya ndoa ya kiislam kigezo cha mwanzo ni dini lzma zifanane ndoa ndo inasihi na kua halali bila dini zinaa inabakia pale pale unamuoa au kuolewa na mtu kwa

1.dini yake
2.Kipato chake
3.Uzur wake
4.Nasaba yake

Ivi vyote sio lazima vitimie as long as ana matendo mema na umempenda ila dini tu hakuna ndoa nje ya dini ndo mana unakuta wengi muislam mkristo wanaishi tu kuzaa au wanafunga bomani mana mskitin hata wafunge hakuna ndoa hapo wengi wanalala kusema kwamba waislam wanabagua kwenye ndoa ila sio matakwa ya mtu ni sheria inabana na yeyote mwenye kuamin anaogopa kujvunja sheria yni unakut kila mmoja hayupo tayar kubadil ili amfte mwenzake kwa uislam lzma upate muislam au muislam abadil amfate mkristo ahamie huko wafunge kanisan au mkristo abadil amfate mwanamke muislam ili apewe mke kila mmmoja hayupo tayar

Ushaur

Mapez mabaya angalien nafs zenu zinataka nini wazaz hawatokubal milele mwanamk hapo ndo muamuz wengne wanakubal kuwasalit wazaz wengine hawakubl wanakuacha kwaio kaa na mwanamke kwanza mcklze yupo upande gan ufanye maamuz akufate au umfate au muachane kila mtu aende anakomin
 
Duuh! Aisee huna bahati,... Mimi laiti ningetaka kuwabadilisha hawa mabint wa kiislam kuwa wakristo kwa kigezo cha ndoa, ni wengi walinikubalia kwakua wanasema, wanapenda ndoa ya Mke mmoja, na thamani ya mwanamke katika ndoa za kikristo, kwani hata huyu niliyenae alikua muislam, na sasa ni mkristo saafi kabisa .... Anyway.. Sasa nikushauri tu kwamba, mwanaume habadilishi dini yake kwa ajili ya mke, hiyo ni balaa..... Sisemi hivyo kwakua wewe ni mkristo, la! Mwanamke akishapewa thamani hiyo, hujiona kapewa kapewa nguvu isiyofanana ya thamani kwenye mapenz yenu,... Thamani hiyo ndio itayompa kiburi ya kulazimisha akisemacho yeye ukisikilize na kukifanya kwakua kama amekushinda kwenye jambo la imani anaamini hakuna litakaloshindikana yeye kukunyoosha,... Mwanaume ukishasimama imara, ndoa yako itakua imara kwakua mwanaume ndio steering wa mchezo kwenye ndoa..... Usijaribu kufanya hivyo
Hadi sasa hilo swala kwangu la kubadili dini Nimeisha lifuta kabisa
 
Me nikwambie ukweli hapo pa kumuoa pazito lbda akubali mwanamke mwenyew ukamuoe bomani ila wazazi wake hawatokubl milele kwasabbu sheria ya ndoa ya kiislam kigezo cha mwanzo ni dini lzma zifanane ndoa ndo inasihi na kua halali bila dini zinaa inabakia pale pale unamuoa au kuolewa na mtu kwa

1.dini yake
2.Kipato chake
3.Uzur wake
4.Nasaba yake

Ivi vyote sio lazima vitimie as long as ana matendo mema na umempenda ila dini tu hakuna ndoa nje ya dini ndo mana unakuta wengi muislam mkristo wanaishi tu kuzaa au wanafunga bomani mana mskitin hata wafunge hakuna ndoa hapo wengi wanalala kusema kwamba waislam wanabagua kwenye ndoa ila sio matakwa ya mtu ni sheria inabana na yeyote mwenye kuamin anaogopa kujvunja sheria yni unakut kila mmoja hayupo tayar kubadil ili amfte mwenzake kwa uislam lzma upate muislam au muislam abadil amfate mkristo ahamie huko wafunge kanisan au mkristo abadil amfate mwanamke muislam ili apewe mke kila mmmoja hayupo tayar

Ushaur

Mapez mabaya angalien nafs zenu zinataka nini wazaz hawatokubal milele mwanamk hapo ndo muamuz wengne wanakubal kuwasalit wazaz wengine hawakubl wanakuacha kwaio kaa na mwanamke kwanza mcklze yupo upande gan ufanye maamuz akufate au umfate au muachane kila mtu aende anakomin
Aliwaambia wazazi wake kuhusu swala la yeye kubadili dini! Walichomjibu ni kwamba, endapo tu atafanya maamuzi hayo bac ajue wale co wazazi wake na ackanyage nyumbani kwao maishaaaaa
 
c muondoke mkaishi maisha yenu hao wazazi watawaelewa tu sasa mtadanga hadi lini eti kisa wazazi mpe mimba mzae mlee unawaza mtoto akifa je wew utaishi milele kwani wanaokufaga wanaliwa nyama? au huna helaa uwiii metii mbesa chaliii
Kiufupi kwake yeye kuna kaubishi flani anako
Ananishawishi kwa nguvu zote niwe upande wa imani yake
 
Kwenye hiyo ndoa yenu

1. Wazazi watashiriki nanyi Tendo la Ndoa?

2. Watawalea watoto wenu kila siku?

3. Watapanga nanyi bajeti yenu ya matumizi?

KUWENI WATU WAZIMA! ACHENI UTOTO!

Hakuna sheria inayowalazimisha kusikia ya wazazi kuhusu dini na kwa taarifa yenu KWA MUNGU HAKUNA DINI, NI IMANI YAKO TU!

Msipumbazike.

Nimepitia huko mlikopitia.

Wakimeza, wakisusa, shauri yao, na si lazima mfanye harusi kubwa. WAO SIO MUNGU kujua mmepangiwa nini maishani mwenu! Kwa hiyo SAMEHENI hata hiyo harusi kubwa. Nawatakieni Baraka za Jehovah!
Ameeeeeeen
 
Kaeni mzungumze wenyewe wawili kama mnapendana kiasi cha kuwa tayari kuoana pamoja na mapingamizi makubwa mbele yenu. Mjadili pia mkijaaliwa kupata watoto watafuata dini ipi.

Mkiweza kufikia makubaliano basi muombeni Mungu wenu awape afya njema, heri na baraka katika ndoa yenu. Kisha muendeelee na safari yenu na muwafahamishe wazazi wa pande zote mbili kuhusu maamuzi yenu.
Nitafanya tena kwa mara nyingine kuhusu hilo
 
Aliwaambia wazazi wake kuhusu swala la yeye kubadili dini! Walichomjibu ni kwamba, endapo tu atafanya maamuzi hayo bac ajue wale co wazazi wake na ackanyage nyumbani kwao maishaaaaa
Mkuu inabidi mufanye maamuz ya busara nyinyi wawili wawil wzaz hawakubal milele ndo mana mm naishiaga tu kutuliza moyo wangu mana najua mbele kuna kikwazo tu yani sheria ya ndoa ni lazima islam islam ndio ndoa inaswihi kwaio kaeni nyinyi wawil mkubaliane binti nafc yake inasemaje
 
Mwanamke hana dini
Kama ungekuwa Mkristo kweli usingekuja na swali hilo hapa labda ungeleta ushuhuda wa kumpeleka kondoo zizini mwa Bwana lakini sio kwa ahadi ya ndoa bali kwa injiili na elimu kwamba anaabudu miungu ya Waarabu
Uislam ni upagani ulioboreshwa na Muhammad
Mbona unaropoka vitu bila ya elimu Uislamu sio dini yakuelezewa na kila mtu inabidi kwanza uusome ndo uzungumzie Mungu akuongoze ufahamu nini unacho kipinga!!!
 
Tatizo dogo sana hilo wewe mtie mimba tu huyo atakua wako wa milele. Nilifanya hivo wazazi wa wife waka surrender ndo maana hata maradona alifunga goli la mkono.
 
Back
Top Bottom