Niron za bwawa la samaki

Niron za bwawa la samaki

Zinaitwa geo membrane plastics,hakuna utofauti na kujengea kwa sementi labda kama unataka kila ukivuna ununue nyingine sawa
 
SASA HAYO SI YANATOBOKA BAADA YA MUDA MFUPI?KUNA MENGINE YANAITWA BLACK FILM COURSE MAGUMU ZAIDI KULIKO HIYO GEO PROOF MEMBRANE (GPM)
 
Huyajui mkuu,yapo mpaka ya 15yrs,unafanya repair ndogondogo tu.kuna utofauti wa thicknesses naloliongelea hapa ndio highest na hata la mwisho nalo si chini ya 2yrs
 
AHSANTE MKUU ILA PAKU YAPATA NI WAPI MI NIPO DOM MJINI
 
ofisi za voda kizota hapa si una zifahamu?
 
Habari wana jf,nimekua msomaji wa mada mbalimbali hapa jukwaani na nimenufaika kwa kiwango kikubwa.kupitia elimu nilioipata jf nilianzisha mradi wa kufuga samaki bwawani.nina bwawa la sment ambalo nalitumia kufuga lakin nataka niongeze bwawa jingine la ghalama nafuu.Leo najitokeza kuuliza Wapi wanapouza zile niro wanazotumia kutandika kwenye mabwawa hususan ya Samaki.nikipata mawasiliano itapendeza zaidi.
Tuwasiliane ndugu, zinaitwa dam liner au HDPE(high density polyethylene ) zipo za aina mbili hapa ofisn kwetu zenye unene wa 0.5mm tunauza 8,500 per sqm , na zile za 1mm tunauza 11,500 per sqm kujua size ya liner utayohitaji

Urefu wa liner = Urefu wa bwawa+(depth x2) + 1

Upana wa liner = upana wa bwawa+(depthx2) + 1

Eneo = upana wa liner x uref wa liner

Eneo x ( price per sqm) utapata kiasi cha pesa unachotakiwa

Wasiliana na sisi kwa numbari 0763347985/0673000103(Eng Octavian Lasway)
 
Huwa zina upana gani hizi ?yaan mfano nataka kwaajili ya Bwawa la mita Tatu kwa Tano itanibidi nixhukue mita ngapi?
 
Habari wana jf,nimekua msomaji wa mada mbalimbali hapa jukwaani na nimenufaika kwa kiwango kikubwa.kupitia elimu nilioipata jf nilianzisha mradi wa kufuga samaki bwawani.nina bwawa la sment ambalo nalitumia kufuga lakin nataka niongeze bwawa jingine la ghalama nafuu.Leo najitokeza kuuliza Wapi wanapouza zile niro wanazotumia kutandika kwenye mabwawa hususan ya Samaki.nikipata mawasiliano itapendeza zaidi.
 
Huwa zina upana gani hizi ?yaan mfano nataka kwaajili ya Bwawa la mita Tatu kwa Tano itanibidi nixhukue mita ngapi?
3mx5m bado hujanipa depth
But soma maelekezo hapo juu formula nimeweka zote
 
Back
Top Bottom