Niron za bwawa la samaki

Niron za bwawa la samaki

lawyerrr

Member
Joined
Jun 20, 2017
Posts
66
Reaction score
60
Habari wana jf,nimekua msomaji wa mada mbalimbali hapa jukwaani na nimenufaika kwa kiwango kikubwa.kupitia elimu nilioipata jf nilianzisha mradi wa kufuga samaki bwawani.nina bwawa la sment ambalo nalitumia kufuga lakin nataka niongeze bwawa jingine la ghalama nafuu.Leo najitokeza kuuliza Wapi wanapouza zile niro wanazotumia kutandika kwenye mabwawa hususan ya Samaki.nikipata mawasiliano itapendeza zaidi.
 
Nenda sido vingunguti kule Mkuu.mawasiliano ya baltoni mikocheni nimetafuta kwenye simu sijaona.ila kama utaweza kwenda balton mikocheni sawa.ila Sido bei nafuu zaidi
 
upo wapi? sisi tuna tuma popote ulipo kwa gharama zako... ila kama upo karibu tuna kuletea...
Sqm 1=11,500/-

karibu... tupo Dodoma...
 
Nenda sido vingunguti kule Mkuu.mawasiliano ya baltoni mikocheni nimetafuta kwenye simu sijaona.ila kama utaweza kwenda balton mikocheni sawa.ila Sido bei nafuu zaidi
Sido wana uzaje?
 
Hapa Bwawa la 20×20 ina kuwa shilling ngapi
4,500,000/- hawa au sisi ma agent ni hizo bei.... ukipiga hapo sqm 1 = 11500 na kwa sqm unazo itaji 400 x bei ya sqm 1 11500 utapata iyo hapo 4,500,000/- ila ukienda kwa dealers wakubwa bei itapungua sana hata kwa 1.5M...

hupo mkoa gani mkuu...
 
kwanini nimekurupuka mkuu?
Zile zenye upana mita Tatu ndo huwa zainauzwa kati ya elf 10 hadi elf 12.kweli kama ni upana mita Moja kama.ulivyosema basi ni wazi umekurupuka.maaana hapo niron itakua bei kubwa kuliko Bwawa la sment
 
Duhh sitaweza
pole... jipange upya kidogo kidogo... au tafuta wanao uza bei nzuri kidogo mkuu... pia angalia ktk ebay, alibaba, amazon nk ulinganishe bei... pia usisite kumcheki Mwl. RCT humu jamiiforum... anaweza kukusaidia zaidi ktk manunuzi ya nje na kukushauri pia nini cha kufanya

j2 njema
 
Zile zenye upana mita Tatu ndo huwa zainauzwa kati ya elf 10 hadi elf 12.kweli kama ni upana mita Moja kama.ulivyosema basi ni wazi umekurupuka.maaana hapo niron itakua bei kubwa kuliko Bwawa la sment
ina wezekana nikawa nime kurupuka mkuu... ila jitaidi kufatilia utapata unacho itaji... na utapata elimu bora zaidi katika hili...

uwe na siku njema...
 
4,620,000/=. Hiyo gharama ni zaidi ya kujenga kwa concrete kusakafia kwa tiles.

20x20=4,620,000/- price na sqm ni 400

Zile zenye upana mita Tatu ndo huwa zainauzwa kati ya elf 10 hadi elf 12.kweli kama ni upana mita Moja kama.ulivyosema basi ni wazi umekurupuka.maaana hapo niron itakua bei kubwa kuliko Bwawa la sment

kwa price ya 10,000/- kwa sqm 1 = na price ya 4,000,000/-

ila kwa price ya 1sqm = 11500/- sawa na 4.5 M amekurupuka ila wa 4.6 M haja kurupuka... dunia ina watu...! na hapa hizi bei ni za ma agent sio super d' muuzaji mkuu... ukienda kwa muuzaji mkuu bei ina pungua kutoka hapo ilipo... na ndio maaana yule aliye sema sido wanauza niliuliza wanauzaje? ili nilinganishe na pale tunapo nunua kama bei zina endana au kuna tofauti.....
 
Back
Top Bottom