Msukuma 94
Senior Member
- Apr 21, 2017
- 133
- 91
Habari za muda huu wana JF, Mimi ni mhitimu wa form six mwaka 2014 kwa mchepuo wa PCB matokeo yangu yalikua;
physics-E
chemistry-D
biology-C
Nataka mwakani nijiunge na elimu ya juu, je niresit chemistry pekee au na physics? Kwa kua ninatakiwa niwe na principal pass "C" kwa masomo mawili.
Sent using Jamii Forums mobile app