Truly,
Huyu mdogo wako alishakuwa mwari kabla ya hali hii ya sasa?
kama alikuwa bado hajavunja ungo basi ndio anaingia sasa na pengine imeanza vibaya. Kama alikuwa tayari ni mwari kabla ni vyema umpeleke kwa daktari,mupate ushauri wa kitaalamu bila ya kumchelewesha.