JEKI JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 4,845 Reaction score 2,968 Aug 16, 2013 #1 Chelewa ufike, hatimaye nimeamua kujiunga na JF baada ya tafakari ya kipindi kirefu. Nimekuja kuchapa kazi, hivyo nipokeeni kwa mikono miwili.
Chelewa ufike, hatimaye nimeamua kujiunga na JF baada ya tafakari ya kipindi kirefu. Nimekuja kuchapa kazi, hivyo nipokeeni kwa mikono miwili.
happiness win JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,461 Reaction score 1,394 Aug 16, 2013 #2 JEKI said: Chelewa ufike, hatimaye nimeamua kujiunga na JF baada ya tafakari ya kipindi kirefu. Nimekuja kuchapa kazi, hivyo nipokeeni kwa mikono miwili. Click to expand... Haya, tunangoja kuona uchapaji kazi wako!
JEKI said: Chelewa ufike, hatimaye nimeamua kujiunga na JF baada ya tafakari ya kipindi kirefu. Nimekuja kuchapa kazi, hivyo nipokeeni kwa mikono miwili. Click to expand... Haya, tunangoja kuona uchapaji kazi wako!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,325 Reaction score 111,536 Aug 16, 2013 #3 JEKI said: Chelewa ufike, hatimaye nimeamua kujiunga na JF baada ya tafakari ya kipindi kirefu. Nimekuja kuchapa kazi, hivyo nipokeeni kwa mikono miwili. Click to expand... Karibu sana JF...
JEKI said: Chelewa ufike, hatimaye nimeamua kujiunga na JF baada ya tafakari ya kipindi kirefu. Nimekuja kuchapa kazi, hivyo nipokeeni kwa mikono miwili. Click to expand... Karibu sana JF...
JEKI JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 4,845 Reaction score 2,968 Aug 16, 2013 Thread starter #4 athante happiness, ngoja kwanza nikae kibarazani nikitafakari niingieje chumbani, ugeni bado, siyo vizuri unafika tu na kuingia chumbani.
athante happiness, ngoja kwanza nikae kibarazani nikitafakari niingieje chumbani, ugeni bado, siyo vizuri unafika tu na kuingia chumbani.
JEKI JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 4,845 Reaction score 2,968 Aug 16, 2013 Thread starter #5 asante watu8
Nsabhi JF-Expert Member Joined Feb 23, 2011 Posts 1,093 Reaction score 162 Aug 16, 2013 #6 Karibu sana usisahau kuvaa pampasi maana wewe bado ni mdogo! JEKI said: Chelewa ufike, hatimaye nimeamua kujiunga na JF baada ya tafakari ya kipindi kirefu. Nimekuja kuchapa kazi, hivyo nipokeeni kwa mikono miwili. Click to expand...
Karibu sana usisahau kuvaa pampasi maana wewe bado ni mdogo! JEKI said: Chelewa ufike, hatimaye nimeamua kujiunga na JF baada ya tafakari ya kipindi kirefu. Nimekuja kuchapa kazi, hivyo nipokeeni kwa mikono miwili. Click to expand...
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,419 Reaction score 3,050 Aug 18, 2013 #7 Karibu JF.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Aug 18, 2013 #8 JEKI said: athante happiness, ngoja kwanza nikae kibarazani nikitafakari niingieje chumbani, ugeni bado, siyo vizuri unafika tu na kuingia chumbani. Click to expand... Umepitia sheria na kanuni za JF? Pita ndani utulie.
JEKI said: athante happiness, ngoja kwanza nikae kibarazani nikitafakari niingieje chumbani, ugeni bado, siyo vizuri unafika tu na kuingia chumbani. Click to expand... Umepitia sheria na kanuni za JF? Pita ndani utulie.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,960 Reaction score 13,937 Aug 18, 2013 #9 Karibu sana JF mkuu............