Ni mgeni lakini sina kamba mguuni....Nipeni kiti nikae japo nitokapo si mbali.....fungueni vyenu vinywa tusalimiane huo ndo uungwana! Shikamooni wakubwa