Sijawatukana nimewapa sifa yenu stahiki mimi nawajua vyema kuanzia Gehandu,Mwahu,Sagara,Itaja,Kinyamwenda,Msikii,Mughamu,Mgori,Msange,Maghojoa,Kinyeto,Unyambwa,mpaka Ilongero hampendi kazi ngumu hata mliobahatika kuja huku mjini wengi wenu vijana wa kiume mnafanya kazi za unyozi saluni.