Maelezo ayajitoshelezi
Jibu zuriuna umri gani,unataka mtu wa rika gani?unataka vizee vijilete pia?dini gani?kuna vitu ungependelea mtu awe navyo kama ajira?akiwa na mtoto/watoto ni sawa kwako?ungependeleza atokee arusha au miji mingine ni sawa?unaweza kuhimili mikiki ya long distance relationship?