Nipo rumande kwa kufungua ofisi

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Apr 1, 2014
748
366
Japo nimefanya usafi mpaka maeneo yasio nihusu nakuendelea kufanya biashara ya kuuza breckfast lakin haijasaidia.

Natakiwa kulipa faini.. najiuliza hoja ya msingi ni usafi au kufungua ofisi??

nisaidieni wakuu kabla sijaenda rumande...
 
Fuata sheria na kanuni, kiburi chenu cha kuishi kwa mazoea vitawaponza.

Hayo ndio mabadiliko tuliyokuwa tunayoyahitaji,

nakushauli andaa fine kabisa kabla hujaenda kunyea kwenye ndoo
 
Sheria msumeno ukiujaribia kujikata mwilini ili uone mAkali yake ndio hayo
 
Unachart na kupost ukiwa Lupango? Basi una polisi ndugu yako. Soon you will be out hulipi wewe. Wahonge hiyo simu unayotumia kupost kama si genuine wengi huwa hawazijui.
 
Japo nimefanya usafi mpaka maeneo yasio nihusu nakuendelea kufanya biashara ya kuuza breckfast lakin haijasaidia.

Natakiwa kulipa faini.. najiuliza hoja ya msingi ni usafi au kufungua ofisi??

nisaidieni wakuu kabla sijaenda rumande...
Kuwa mkweli, rumande wanaingia na simu?
 
Back
Top Bottom