Nipo njiapanda: Shule au Ajira?

Nipo njiapanda: Shule au Ajira?

Ligamba

Member
Joined
Jul 4, 2021
Posts
16
Reaction score
19
Habarini humu,

Ni mwanachuo MD mwaka wa 2, nipo najiandaa na UE zikiwa zimebaki wiki kadhaa pekee. Nina diploma ya Clinical Medicine na nilijaribu kuomba hizi ajira za Serikali na nimepata ajira.

Sasa hapa nipo njia panda hasa na nimesikia hizi ajira usipoenda ndo basi huajiriwi tena, changamoto zaid chuo nimepata mkopo, kichwa cha moto sana hapa kwenye kufanya maamuzi.

Naomba mawazo yenu wakuu.
 
USITHUBUTU KUACHA KAZI HII YA SERIKALINI. Ukiacha masomo kuna chance ya kurudi masomoni lakini ukiacha kazi ni ngumu kupata chance tena serikalini.

Sasa ufanyeje.

Kwa kuwa umesema bado wiki mbili uanze UE, nenda ka report kituo kipya cha kazi then omba ruhusa ukamalizie UE yako. Baada ya kufanya UE angalia mazingira ya kufanya vyote kwa pamoja (hili litawezekana namna utakavyo ongea na msimamizi wako sio mwajiri ).

Ikiwa ngumu ongea na chuo usome online uwe unaenda chuo kufanya presentation na UE tu.

Ikiwa ngumu freeze mwaka mmoja kwanza.

Ikiwa ngumu acha chuo utajisomesha baadae ukikaa sawa kiuchumi.
 
Andika barua ya kusitisha masomo kwa muda, halafu uende ukapige kazi kwanza.

Baadae utarejea tena kwenye masomo ingali una ajira tayari.

Ukimaliza masomo hutahangaika tena kutafuta ajira, utateleza tu kurudi kwenye ajira
 
Nakushauri hiki kutoka moyoni. Nakushauri hiki kwa kuwa nimeshapitia situation kama yako.

Mimi nilipostpone masomo nikiwa mwaka wa pili chuoni. Nikaenda kufanya kazi. Niliajiriwa kwa level ya diploma niliyoombea. Nikafanya kazi miaka mitatu ndo nikapata ruhusa ya kurudi tena chuoni.

Kwasasa nipo chuoni nimeanza mwaka wa kwanza. Najivunia maamuzi niliyochukua mwanzo mosi yamenipa faida nyingi.
Nimerudi chuo nikiwa nimeshajenga, japo sijamalizia rasmi atleast naweza kuhamia na maisha yakasonga. Kupitia kazi nimejenga connection ya kutisha, nina experience ya kutisha, naheshimika, nina marafiki, nimejifunza mengi.

Kwasasa nasoma kwa amani na kwa malengo sina presha ya ajira sababu ninayo mkononi.

Nakushauri sikiliza moyo wako zaidi. Sikiliza ile sauti ya ndani ndo hutoaga muelekeo wa maisha ya mtu. Si lazma upitie njia niliyopitia mm.

Fanya maamuzi sahihi,Hakikisha unafurahia maamuzi utakayoyachukua.

All The Best.
 
Mimi nilipostpone masomo nikiwa mwaka wa pili chuoni. Nikaenda kufanya kazi. Niliajiriwa kwa level ya diploma niliyoombea. Nikafanya kazi miaka mitatu ndo nikapata ruhusa ya kurudi tena chuoni...
Nimekupata vema sana. Ngoja nikafanye kazi, sauti ya wengi ni sauti ya Mungu
 
Shule ipo ila kazi kadri siku zinavoenda zinazidi kupotea na huenda zikaisha kabisa kwa uendeshaji huu wa uchumi.

Kafanye kazi kijana
 
Habarini humu,

Ni mwanachuo MD mwaka wa 2, nipo najiandaa na UE zikiwa zimebaki wiki kadhaa pekee. Nina diploma ya Clinical Medicine na nilijaribu kuomba hizi ajira za Serikali na nimepata ajira.

Sasa hapa nipo njia panda hasa na nimesikia hizi ajira usipoenda ndo basi huajiriwi tena, changamoto zaid chuo nimepata mkopo, kichwa cha moto sana hapa kwenye kufanya maamuzi.

Naomba mawazo yenu wakuu.
Kafanyekazi kwanza rudisha hela za mkopo.
 
Nakushauri hiki kutoka moyoni. Nakushauri hiki kwa kuwa nimeshapitia situation kama yako.

Mimi nilipostpone masomo nikiwa mwaka wa pili chuoni. Nikaenda kufanya kazi. Niliajiriwa kwa level ya diploma niliyoombea. Nikafanya kazi miaka mitatu ndo nikapata ruhusa ya kurudi tena chuoni.

Kwasasa nipo chuoni nimeanza mwaka wa kwanza. Najivunia maamuzi niliyochukua mwanzo mosi yamenipa faida nyingi.
Nimerudi chuo nikiwa nimeshajenga, japo sijamalizia rasmi atleast naweza kuhamia na maisha yakasonga. Kupitia kazi nimejenga connection ya kutisha, nina experience ya kutisha, naheshimika, nina marafiki, nimejifunza mengi.

Kwasasa nasoma kwa amani na kwa malengo sina presha ya ajira sababu ninayo mkononi.

Nakushauri sikiliza moyo wako zaidi. Sikiliza ile sauti ya ndani ndo hutoaga muelekeo wa maisha ya mtu. Si lazma upitie njia niliyopitia mm.

Fanya maamuzi sahihi,Hakikisha unafurahia maamuzi utakayoyachukua.

All The Best.
Ile sauti ya ndani kabisa ya kutoa ushauri mwaka 2017 nilipopata ajira ya serikali nikiwa private sikuisikiliza miaka miwili baadae yaani 2019 nilifukuzwa private kama MBWA mwizi.

Mwaka 2020 nilibahatika kurudi tena serikalini tena kwa connection aiseee ile situation isikie tu kwa mwenzako.
 
Serikali kuna security ya kazi ingawa maslahi ni kuvumiliana.

Private sector ni kizungumkuti, uzuri wewe ni shahidi kwa hilo.
 
Habarini humu,

Ni mwanachuo MD mwaka wa 2, nipo najiandaa na UE zikiwa zimebaki wiki kadhaa pekee. Nina diploma ya Clinical Medicine na nilijaribu kuomba hizi ajira za Serikali na nimepata ajira.

Sasa hapa nipo njia panda hasa na nimesikia hizi ajira usipoenda ndo basi huajiriwi tena, changamoto zaid chuo nimepata mkopo, kichwa cha moto sana hapa kwenye kufanya maamuzi.

Naomba mawazo yenu wakuu.
MD ni degree ya miaka mingi pamoja na internship hivyo lazima uwe makini. Kwanza jitahidi umalize mitihani yako. Pili uwe muwazi kwa wahusika. Muone kwanza academic advisor wako ujue unaweza kuahirisha masomo kwa miaka mingapi. Pili nenda kazini ulipo pangiwa waeleze nia yako ya kazi na pia hitaji lako la kumaliza masomo yako. Wasikilize kwa umakini hasa kuhusu miaka ambayo unatakiwa ufanye kazi kabla hujaruhusiwa kwenda masomoni. Tatu fanya maamuzi na Nne tekeleza. Hakikisha chuo una ahirisha masomo kwa maandishi. All the best.
 
Habarini humu,

Ni mwanachuo MD mwaka wa 2, nipo najiandaa na UE zikiwa zimebaki wiki kadhaa pekee. Nina diploma ya Clinical Medicine na nilijaribu kuomba hizi ajira za Serikali na nimepata ajira.

Sasa hapa nipo njia panda hasa na nimesikia hizi ajira usipoenda ndo basi huajiriwi tena, changamoto zaid chuo nimepata mkopo, kichwa cha moto sana hapa kwenye kufanya maamuzi.

Naomba mawazo yenu wakuu.
Ahirisha chuo kapige kazi the utarudi shule kujiendeleza
 
Acha kazi uje uone kazi kupata kazi.mwisho wa kunukuu
 
Habarini humu,

Ni mwanachuo MD mwaka wa 2, nipo najiandaa na UE zikiwa zimebaki wiki kadhaa pekee. Nina diploma ya Clinical Medicine na nilijaribu kuomba hizi ajira za Serikali na nimepata ajira.

Sasa hapa nipo njia panda hasa na nimesikia hizi ajira usipoenda ndo basi huajiriwi tena, changamoto zaid chuo nimepata mkopo, kichwa cha moto sana hapa kwenye kufanya maamuzi.

Naomba mawazo yenu wakuu.
Una akili au matope mkuu?
 
Kawahi manoti ili uwe unaitwa Bwana Manoti!
 
Back
Top Bottom