JOMAKIBU JF-Expert Member Joined Apr 18, 2015 Posts 538 Reaction score 70 Apr 22, 2017 #1 Nipo kidato cha 6 combination ya HGL naombeni msaada wenu nisome course gan ambayo itanisaidia kwakipindi cha miaka 5 ijayo kujiajr ama kuajiliwa?
Nipo kidato cha 6 combination ya HGL naombeni msaada wenu nisome course gan ambayo itanisaidia kwakipindi cha miaka 5 ijayo kujiajr ama kuajiliwa?
wamisako JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 917 Reaction score 873 Apr 22, 2017 #2 JOMAKIBU said: Nipo kidato cha 6 combination ya HGL naombeni msaada wenu nisome course gan ambayo itanisaidia kwakipindi cha miaka 5 ijayo kujiajr ama kuajiliwa? Click to expand... Maliza kwanza paper alafu ndo uje
JOMAKIBU said: Nipo kidato cha 6 combination ya HGL naombeni msaada wenu nisome course gan ambayo itanisaidia kwakipindi cha miaka 5 ijayo kujiajr ama kuajiliwa? Click to expand... Maliza kwanza paper alafu ndo uje
andjul JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 19,420 Reaction score 121,809 Apr 22, 2017 #3 Una uhakika gani kama utafaulu vizuri mtihani wako?Muombe sana Mungu wako akusimamie uweze kufanya vizuri mtihani na upate matokeo mazuri.Chuo ni matokeo mazuri ya mtihani wako utakao fanya.
Una uhakika gani kama utafaulu vizuri mtihani wako?Muombe sana Mungu wako akusimamie uweze kufanya vizuri mtihani na upate matokeo mazuri.Chuo ni matokeo mazuri ya mtihani wako utakao fanya.