Nipo njia panda

Mlanje

Senior Member
Joined
May 16, 2013
Posts
141
Reaction score
77
Ndugu wakuu nina mchumba ambaye tumedumu kwa miaka miwili,kiundani nampenda sana ila yeye hanionyeshi mapenzi ya kweli yaani nisipopiga simu anaweza kukaa kimya hata siku nzima pia hapendi kujishusha na kukubali makosa yake hata kuomba msamaha ni vigumu mwezi uliopita nimekutana na msichana mwingine anayenivutia sana(very cute) na anadai yeye ni bikira ambaye ameweka nadhiri na Mungu kutofanya mapenzi mpaka ndoa kwa uzoefu wangu kweli inaonyesha hajawahi kuwa na mtu maana aibu imemjaa usoni na pia kwa umri wake(20yrs) kuna uwezekano anachosema ni kweli,mimi pia msichana niliyenae ndio wa kwanza napata shida kumkubali huyu dogo maana niliyenae nampenda sana najisikia hatia kumsaliti na kumwacha na huyu ndio muda mwingi ananitafuta,kiukweli nipo kwenye njia panda
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaa! Mi sina mengi japo nakuchia haka kamsemo!

ITS BETTER THE DEVIL YOU KNOW THAN A SAMARITAN YOU DONT KNOW! KIPYA HAKINYEMI INGAWA NI KIDONDAAA!!!!!!!!!!1
 
hahahahahaha uwiiiiii mtu akiwa na aibu sana ndo bikra.......kweli bado una safari ndefu.
 
Utavutiwa na wengi sana. Ati umesema 'very cute'? Ma-cute wako wengi na wengine mbado kuzaliwa.

Back to the topic, je wewe huwa unajishusha ukikosea? Kama jibu ni ndiyo basi huyo mchumbako yuko sahihi. Usitupe mbachao...
 
Mbona sioni kama upo njia panda hapo...
Yaani ukae na mtu miaka miwili ya uchumba halafu leo hii ndio atokee kidosho mwingine out of nowhere ndio uwe njia panda?

Kama kweli tabia zake zakukera, you would have left her a loooong time ago...kilichokukuta wewe ni nyege mshindo baaaasi....eti umekutana na msupuu cute, eish cute my left foot!!!
 

achana nao wote wawili usubiri mpaka wakati wa kuoa ndo utajua la kufanya
 

hahahaaaaa
 
Utavutiwa na wengi sana. Ati umesema 'very cute'? Ma-cute wako wengi na wengine mbado kuzaliwa.

Back to the topic, je wewe huwa unajishusha ukikosea? Kama jibu ni ndiyo basi huyo mchumbako yuko sahihi. Usitupe mbachao...

kwa msala upitao
 

chukua hiyo brand ya kichina baba kama mtu anazodoa tupa kule songa mbele.. siku hizi hakuna mapenzi babu enheee..
 

Daddy... Punguza hasira!!! :doh:
 
Usiache mbachao kwa msala upitao..

Umewahi kuzungumza nae kuhusu hizo tabia zinazokuboa???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kupenda siyo tatizo ila kupata anayekupenda, na wakati mwingine unaweza usijue anayekupenda kama hautakuwa makini hii inatokana na uwazi wa mtu na mtazamo wake.
Hivyo kaa zungumza na mwenzi wako, mwelimishe inawezekana kutokukupigia simu kwake ni sehemu ya manjonjo katika mapenzi bila kujua anakukwaza, hivyo mwelimishe atakuelewa kama ni mwelewa.
Ikishindikana chukua hatua, yaani penda akupendae instead of loosing a gold by being busy collecting stones.
 
hna lolote wew firauni kinachokusumbua wew ni hyo ombo tu inapwitapwita kwanza huyo dmu wako hajakusumbua sema tu shida ni huyo mallaya kama wew mwenye bikira ya kichina anakuzingua hujakua kabisa na usiwe unaleta thread za kitoto huku mngese wew usione kichaka ushabanwa mavi
 

hahahaha na haya ni makavu live......source Mpoki ze comedy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…