NIPO NJIA PANDA

NIPO NJIA PANDA

Kamamou

Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
11
Reaction score
8
Mimi ni binti wa miaka kadhaa, ninafanya kazi kwa maana ya muajiriwa, nina mahusiano, sina mtoto

Kiafya Status yangu ni HIV+ (ugonjwa unawapata binadamu so zngatia kauli ikiwa wewe ni binadamu, ila kama wewe sio binadamu niongelee vibaya). Tangu nimegundua nina hali hiyo huu ni mwaka wa 5 sasa. Story ya hii ishu ni ndefu ila kwa ufupi ni hivi

Katika ukuaji nikapata mchumba, sasa kwa ugeni wa mapenzi sikuwa na akili ya kupima jumlisha na ndo mpenzi wa kwanza basi nilimuamini kwa kila Pumzi imtokayo, mambo yakawa mambo ikawa kuja nyumbani ikawa kunichumbia kwahiyo katika process za kuitafuta ndoa pamoja naye nilijikuta nimeambukizwa kwa hasira uchungu na maumivu hayo sikuweza kuvumilia neno. Ilinilazimu kuachana na yule kijana hivyo mahusiano yetu yaliishia hapo. (hii sio topic)

Hivyo sasa ilinichukua miaka miwili kukaa sawa psychologically. Nikapata rafiki nikamuambia ukweli wangu wote naye hakunichukulia tofauti, akaanza kama rafiki baadae tukawa wapenzi. Kipind hiko hiko akaja rafik mwngne nikaruhusu ukarbu naye akahtaji zaid ya urafik nilimkatalia sabab tayar nina mpenzi ambaye kiukweli nisingependa kumvuruga ata robo maana mtu amenikubal kama nilivyo alafu nimvuruge NO THANX, so nilimpenda sana sana sana. Huyo rafik wa pili nilimkwepa sana na alisisitiza kuwa namm kisha utachagua yupi wakweli mnajua wanaume kauli zenu lakin sikukubaliana naye.
Kitu pekee nilichomwambia ni ubaki kwenye urafiki tu japo kila akipiga smu au kutuma sms maombi yake n yale yale, nikikasirika na kumtishia kumblock anacha kwa muda kisha siku zngne anadokezea so hali ikawa hivyo. Kwahyo wakat naendelea na mahusiano na huyo mpenz wangu huyo rafk nae alikua bado n rafik na hajakata tamaa.

Heka heka za mpenz na mpenzi wangu zikaanza, hakua mwaminifu, tulizinguana kwa ishu za kuwa na wanawake wengne wawili tofaut ubaya pia wakat anafanya maamuzi ya kunikubali mm na hali yangu so kwangu mimi ikawa kama bahati so ye alisema kiafya mm nipo okay so hatukupima tena sababu victim n mm (i had nothing to loose tupime au tusipime sababu alikua ameshanikubalia). Na nilikua DHAIFU hata tukigombana nakua mpole tu maana niliona kama nafanyiwa msaada tu so nilikua navumilia, kuna muda naona lolote na liwe naamsha maswali ananichunia hajibu bas najipendekeza tena maana nam-miss so nayeye alijua kuwa sina pa kuelekea wala siwezi kumuacha. Mikiki ikazidi kuachana na kurudiana kama mara tatu. Kilichokua kinanifanya nimsamehe ni kuhisi kwamba HE IS MY SAVING GRACE yaan nikiachana naye n nan atanikubali mimi nikiwa na hali hii.

Huu ni mwaka wa 3 huu kwenye mahusiano, mpenzi wangu anakuaga na utan tu wa lini tunaenda nyumbani na lini napeleka mahari basi namm najijumlishia hapo namjibu, nikishamjbu anapotezea mada siku zinazidi kukata. Jaman kwa umri wangu nahitaj kuwa na familia nahitaj sana kuwa na mtu ambaye mbele ya familia nitokayo nitasimama naye kama mwenzangu, lakini zaid ya sana nahitaji mtoto angalau mmoja tu so nmeona imekua kama ujanja tu wa kunipa matumaini ya kuendelea kubaki naye (note: toka naanza naye mahusiano hatukuwa tumia kinga, kila nikimsisitiza kinga anasema usijali)

So mwezi uliopita, nikaona nimpe nafasi ya mpenzi yule rafik ambaye miaka yote 3 nmempa nafasi ya urafiki tu. Lakini this time nikamuambia ukweli mimi ni muathirika ili nione kama atakubali, Akasema sio tatizo japo mwanzo alihisi nmeamua nitumie kigezo hicho kumkataa, anaishi mkoa mwingine tofaut namm. Alikuja mkoani kwangu tukaenda hosp tukapima ahakikishe kama ni kweli na akanitia sana moyo na anahitaj kunioa. Jaman tuna miezi miwili tu, ni kweli namfaham sana ni mkaka ana sifa zote za kuwa mume kuna muda namuuliza hiv kweli huwez pata mwanamke mwngne anajibu Kwa kuniita jina langu, sihitaji mwanamke nahitaji MKE ambaye ni wewe huwa nalia.

Sasa mimi moyo upo kwa yule mwingine, na sijui namuachaje ili niendelee na huyu. Hatukupima na yule sa naogopa nikisema nimchinjie baharini what if ikawa hakua nao wakat tunakutana alaf nikawa nmemuacha ikiwa nmemuambukiza nitalaanika, japo anasumbua na haeleweki lakn nampenda. Huyu wa sasa nikimtafakari naona hadi sura za watoto wangu, ananiulizia afya yangu kila siku, ananikumbusha dawa kila ifikapo muda wa dawa, mambo ambayo yule hajui atakama nilishaanza dawa au la. Huyu wa pili kingne ana hofu ya Mungu namfaham so hajawahi hata niulizia swala la kulala naye kwa kipindi hiki

Kiukweli nipo njia panda sijui nampiga tukio gani yule aniache yeye ili isiwe mm ndo nmemuacha

Mlotangulia kuona jua naombeni mawazo yenu tafadhali

NB: Mimi binadamu na nina moyo na nyongo pia, zingatien kauli zenu katika ushauri wenu
 
Pole sana na Hongera kwa kuwa jasiri wa kuwaweka wazi wote wanaojaribu kusogea karibu yako.
Naomba nipite bila kutoa ushauri nahisi watakao kuja watakuwa na ushauri na siyo kebehi.
 
Asante

Nilivyoumizwa, uchungu nilioupata sikuhitaj kumsababishia mwingine kwa kutokujua.
 
Aisee,pole sana dada,kikubwa ni kumuomba Mungu akusimamie kwenye hitaji la moyo wako,pia inabidi uusikilize moyo wako upo wapi kwa sasa,kwani maamuzi utakayo yafanya kwa sasa kwa njia moja ama nyingine yanaweza leta furaha ama kugharimu maisha yako ya baadae!!!

Fanya maamuzi kwa busara na kwa utulivu pia!!

Kila la kheri!
 
Mimi ni binti wa miaka kadhaa, ninafanya kazi kwa maana ya muajiriwa, nina mahusiano, sina mtoto

Kiafya Status yangu ni HIV+ (ugonjwa unawapata binadamu so zngatia kauli ikiwa wewe ni binadamu, ila kama wewe sio binadamu niongelee vibaya). Tangu nimegundua nina hali hiyo huu ni mwaka wa 5 sasa. Story ya hii ishu ni ndefu ila kwa ufupi ni hivi

Katika ukuaji nikapata mchumba, sasa kwa ugeni wa mapenzi sikuwa na akili ya kupima jumlisha na ndo mpenzi wa kwanza basi nilimuamini kwa kila Pumzi imtokayo, mambo yakawa mambo ikawa kuja nyumbani ikawa kunichumbia kwahiyo katika process za kuitafuta ndoa pamoja naye nilijikuta nimeambukizwa kwa hasira uchungu na maumivu hayo sikuweza kuvumilia neno. Ilinilazimu kuachana na yule kijana hivyo mahusiano yetu yaliishia hapo. (hii sio topic)

Hivyo sasa ilinichukua miaka miwili kukaa sawa psychologically. Nikapata rafiki nikamuambia ukweli wangu wote naye hakunichukulia tofauti, akaanza kama rafiki baadae tukawa wapenzi. Kipind hiko hiko akaja rafik mwngne nikaruhusu ukarbu naye akahtaji zaid ya urafik nilimkatalia sabab tayar nina mpenzi ambaye kiukweli nisingependa kumvuruga ata robo maana mtu amenikubal kama nilivyo alafu nimvuruge NO THANX, so nilimpenda sana sana sana. Huyo rafik wa pili nilimkwepa sana na alisisitiza kuwa namm kisha utachagua yupi wakweli mnajua wanaume kauli zenu lakin sikukubaliana naye.
Kitu pekee nilichomwambia ni ubaki kwenye urafiki tu japo kila akipiga smu au kutuma sms maombi yake n yale yale, nikikasirika na kumtishia kumblock anacha kwa muda kisha siku zngne anadokezea so hali ikawa hivyo. Kwahyo wakat naendelea na mahusiano na huyo mpenz wangu huyo rafk nae alikua bado n rafik na hajakata tamaa.

Heka heka za mpenz na mpenzi wangu zikaanza, hakua mwaminifu, tulizinguana kwa ishu za kuwa na wanawake wengne wawili tofaut ubaya pia wakat anafanya maamuzi ya kunikubali mm na hali yangu so kwangu mimi ikawa kama bahati so ye alisema kiafya mm nipo okay so hatukupima tena sababu victim n mm (i had nothing to loose tupime au tusipime sababu alikua ameshanikubalia). Na nilikua DHAIFU hata tukigombana nakua mpole tu maana niliona kama nafanyiwa msaada tu so nilikua navumilia, kuna muda naona lolote na liwe naamsha maswali ananichunia hajibu bas najipendekeza tena maana nam-miss so nayeye alijua kuwa sina pa kuelekea wala siwezi kumuacha. Mikiki ikazidi kuachana na kurudiana kama mara tatu. Kilichokua kinanifanya nimsamehe ni kuhisi kwamba HE IS MY SAVING GRACE yaan nikiachana naye n nan atanikubali mimi nikiwa na hali hii.

Huu ni mwaka wa 3 huu kwenye mahusiano, mpenzi wangu anakuaga na utan tu wa lini tunaenda nyumbani na lini napeleka mahari basi namm najijumlishia hapo namjibu, nikishamjbu anapotezea mada siku zinazidi kukata. Jaman kwa umri wangu nahitaj kuwa na familia nahitaj sana kuwa na mtu ambaye mbele ya familia nitokayo nitasimama naye kama mwenzangu, lakini zaid ya sana nahitaji mtoto angalau mmoja tu so nmeona imekua kama ujanja tu wa kunipa matumaini ya kuendelea kubaki naye (note: toka naanza naye mahusiano hatukuwa tumia kinga, kila nikimsisitiza kinga anasema usijali)

So mwezi uliopita, nikaona nimpe nafasi ya mpenzi yule rafik ambaye miaka yote 3 nmempa nafasi ya urafiki tu. Lakini this time nikamuambia ukweli mimi ni muathirika ili nione kama atakubali, Akasema sio tatizo japo mwanzo alihisi nmeamua nitumie kigezo hicho kumkataa, anaishi mkoa mwingine tofaut namm. Alikuja mkoani kwangu tukaenda hosp tukapima ahakikishe kama ni kweli na akanitia sana moyo na anahitaj kunioa. Jaman tuna miezi miwili tu, ni kweli namfaham sana ni mkaka ana sifa zote za kuwa mume kuna muda namuuliza hiv kweli huwez pata mwanamke mwngne anajibu Kwa kuniita jina langu, sihitaji mwanamke nahitaji MKE ambaye ni wewe huwa nalia.

Sasa mimi moyo upo kwa yule mwingine, na sijui namuachaje ili niendelee na huyu. Hatukupima na yule sa naogopa nikisema nimchinjie baharini what if ikawa hakua nao wakat tunakutana alaf nikawa nmemuacha ikiwa nmemuambukiza nitalaanika, japo anasumbua na haeleweki lakn nampenda. Huyu wa sasa nikimtafakari naona hadi sura za watoto wangu, ananiulizia afya yangu kila siku, ananikumbusha dawa kila ifikapo muda wa dawa, mambo ambayo yule hajui atakama nilishaanza dawa au la. Huyu wa pili kingne ana hofu ya Mungu namfaham so hajawahi hata niulizia swala la kulala naye kwa kipindi hiki

Kiukweli nipo njia panda sijui nampiga tukio gani yule aniache yeye ili isiwe mm ndo nmemuacha

Mlotangulia kuona jua naombeni mawazo yenu tafadhali

NB: Mimi binadamu na nina moyo na nyongo pia, zingatien kauli zenu katika ushauri wenu
Pole mah
Mungu akusimame upate hitaji la moyo

Akipe ujasiri wa kifuata kile moyo unapenda sio kile akili inataka kwa wakati huu
 
Siku zote katika maisha inabidi uchague upande unaona unafaa kama ni biashara basi chagua yenye faida hata kama eneo ulilokuwa unafanyia kazi una marafiki wengi sana.
Kumbuka umri unakwenda na unahitaji kuwa na familia. Mapenzi ni hisia na sikubaliani na ww 100% kwamba unampenda huyo jamaa yako wa kwanza. Ingekuwa hivyo watu wanaopendana wasingekuwa wanaachana au asingekuwa anamchukia mtu aliyempenda.
Ukiruhusu hisia zikutawale kwenye mapenzi utateseka sana. ila ukitumia AKILI utayafurahia mapenzi sana.
Wanawake wengi wanateseka kwenye mapenzi sabb wapo busy kuwapenda wanaume wasiowapenda na wale wenye mapenzi ya dhati wanawakataa na matokeo yake wanabaki kulaumu.
Kumbuka urembo wa mwanamke upo katika umri. Mimi nikifikisha miaka 70 naweza tafuta binti wa miaka 18 nikaoa, mwenzangu?
 
Kwanza nikupongeze kwa ujasiri ulionao

Pili, iko hivo yule moyo wako unaemtetemekea hana muda na wewe yule ambae huna habari naye ndio anaonesha interest na wewe

Mama,kama uliweza kuikubali hali yako uliyokua nayo unashindwa nn kujua thamani yako? Ushaona mtu anasumbua mahusiano hayapo kwa ajili ya kusumbuana akili mtu ukiona haupo na furaha sehemu ulipo unaondoka tu na si kua et wanaumr wameisha kua ukiachana naye huampata wa kumpenda we elewa tu as lobg as you hujafariki bado riziki yako itakujia kwa wakat ule ule ulioandikiwa hua tunakuaga na haraka tu

Halaf usioneshe uko needy sana na familia au mtoto ishi ukiamini kila kitu ni majaliwa, vitakuja tu japo kuna muda lazima upate presha kama hizo ipo hivo lakini kamwe isikufanye ukose amani

Jipende, jithamini mwanaume sahihi atakupendea who you are na kamwe hutambadili chochote wala yeye akubadili atakupendea ulivyo, huyo mwengine nenda naye tu sababu unaona ana jali but usimpe moyo wako wote akili kichwani mwako
 
Kama unataka ndoa na familia mkubalie jamaa wa pili ila kama unaufata moyo wako baki na uyo jamaa all wa kwanza aendelee kukusumbua

Kitu kingine wanawake hamtakiwi kupenda nyie inabidiya muwe na heshima kwa wame zenu
 
kwanza kabisa acha kujinyenyekesha wala sio kama umekosa saana sababu unaweza ukawa na Hiv na bado ukaishi vizuri bila kumplease mtu yeyote as lon as umeamua kuwa muwazi kwake isiwe taabu ya ye ku take advantage

pili huyo jamaa yako hakupendi wala nini we ebu muache taratiibu hamia kwa jamaa mwingine mwenye malengo.

over
 
Mimi ni binti wa miaka kadhaa, ninafanya kazi kwa maana ya muajiriwa, nina mahusiano, sina mtoto

Kiafya Status yangu ni HIV+ (ugonjwa unawapata binadamu so zngatia kauli ikiwa wewe ni binadamu, ila kama wewe sio binadamu niongelee vibaya). Tangu nimegundua nina hali hiyo huu ni mwaka wa 5 sasa. Story ya hii ishu ni ndefu ila kwa ufupi ni hivi

Katika ukuaji nikapata mchumba, sasa kwa ugeni wa mapenzi sikuwa na akili ya kupima jumlisha na ndo mpenzi wa kwanza basi nilimuamini kwa kila Pumzi imtokayo, mambo yakawa mambo ikawa kuja nyumbani ikawa kunichumbia kwahiyo katika process za kuitafuta ndoa pamoja naye nilijikuta nimeambukizwa kwa hasira uchungu na maumivu hayo sikuweza kuvumilia neno. Ilinilazimu kuachana na yule kijana hivyo mahusiano yetu yaliishia hapo. (hii sio topic)

Hivyo sasa ilinichukua miaka miwili kukaa sawa psychologically. Nikapata rafiki nikamuambia ukweli wangu wote naye hakunichukulia tofauti, akaanza kama rafiki baadae tukawa wapenzi. Kipind hiko hiko akaja rafik mwngne nikaruhusu ukarbu naye akahtaji zaid ya urafik nilimkatalia sabab tayar nina mpenzi ambaye kiukweli nisingependa kumvuruga ata robo maana mtu amenikubal kama nilivyo alafu nimvuruge NO THANX, so nilimpenda sana sana sana. Huyo rafik wa pili nilimkwepa sana na alisisitiza kuwa namm kisha utachagua yupi wakweli mnajua wanaume kauli zenu lakin sikukubaliana naye.
Kitu pekee nilichomwambia ni ubaki kwenye urafiki tu japo kila akipiga smu au kutuma sms maombi yake n yale yale, nikikasirika na kumtishia kumblock anacha kwa muda kisha siku zngne anadokezea so hali ikawa hivyo. Kwahyo wakat naendelea na mahusiano na huyo mpenz wangu huyo rafk nae alikua bado n rafik na hajakata tamaa.

Heka heka za mpenz na mpenzi wangu zikaanza, hakua mwaminifu, tulizinguana kwa ishu za kuwa na wanawake wengne wawili tofaut ubaya pia wakat anafanya maamuzi ya kunikubali mm na hali yangu so kwangu mimi ikawa kama bahati so ye alisema kiafya mm nipo okay so hatukupima tena sababu victim n mm (i had nothing to loose tupime au tusipime sababu alikua ameshanikubalia). Na nilikua DHAIFU hata tukigombana nakua mpole tu maana niliona kama nafanyiwa msaada tu so nilikua navumilia, kuna muda naona lolote na liwe naamsha maswali ananichunia hajibu bas najipendekeza tena maana nam-miss so nayeye alijua kuwa sina pa kuelekea wala siwezi kumuacha. Mikiki ikazidi kuachana na kurudiana kama mara tatu. Kilichokua kinanifanya nimsamehe ni kuhisi kwamba HE IS MY SAVING GRACE yaan nikiachana naye n nan atanikubali mimi nikiwa na hali hii.

Huu ni mwaka wa 3 huu kwenye mahusiano, mpenzi wangu anakuaga na utan tu wa lini tunaenda nyumbani na lini napeleka mahari basi namm najijumlishia hapo namjibu, nikishamjbu anapotezea mada siku zinazidi kukata. Jaman kwa umri wangu nahitaj kuwa na familia nahitaj sana kuwa na mtu ambaye mbele ya familia nitokayo nitasimama naye kama mwenzangu, lakini zaid ya sana nahitaji mtoto angalau mmoja tu so nmeona imekua kama ujanja tu wa kunipa matumaini ya kuendelea kubaki naye (note: toka naanza naye mahusiano hatukuwa tumia kinga, kila nikimsisitiza kinga anasema usijali)

So mwezi uliopita, nikaona nimpe nafasi ya mpenzi yule rafik ambaye miaka yote 3 nmempa nafasi ya urafiki tu. Lakini this time nikamuambia ukweli mimi ni muathirika ili nione kama atakubali, Akasema sio tatizo japo mwanzo alihisi nmeamua nitumie kigezo hicho kumkataa, anaishi mkoa mwingine tofaut namm. Alikuja mkoani kwangu tukaenda hosp tukapima ahakikishe kama ni kweli na akanitia sana moyo na anahitaj kunioa. Jaman tuna miezi miwili tu, ni kweli namfaham sana ni mkaka ana sifa zote za kuwa mume kuna muda namuuliza hiv kweli huwez pata mwanamke mwngne anajibu Kwa kuniita jina langu, sihitaji mwanamke nahitaji MKE ambaye ni wewe huwa nalia.

Sasa mimi moyo upo kwa yule mwingine, na sijui namuachaje ili niendelee na huyu. Hatukupima na yule sa naogopa nikisema nimchinjie baharini what if ikawa hakua nao wakat tunakutana alaf nikawa nmemuacha ikiwa nmemuambukiza nitalaanika, japo anasumbua na haeleweki lakn nampenda. Huyu wa sasa nikimtafakari naona hadi sura za watoto wangu, ananiulizia afya yangu kila siku, ananikumbusha dawa kila ifikapo muda wa dawa, mambo ambayo yule hajui atakama nilishaanza dawa au la. Huyu wa pili kingne ana hofu ya Mungu namfaham so hajawahi hata niulizia swala la kulala naye kwa kipindi hiki

Kiukweli nipo njia panda sijui nampiga tukio gani yule aniache yeye ili isiwe mm ndo nmemuacha

Mlotangulia kuona jua naombeni mawazo yenu tafadhali

NB: Mimi binadamu na nina moyo na nyongo pia, zingatien kauli zenu katika ushauri wenu
Dada nadhani kuna vitu unakosea, you have wrong holds and strong holds. Tatizo unafikiri kupendwa kwako ni kama zawadi tu, sasa yeye hana mapenzi ya dhati (huyo wa kwanza) ila anavyo ku treat na wewe unavyotafsiri ni kama huruma tu its just a pity, sasa ni kama mnahurumiana hiyo imekwenda mbali mpaka unajiona ukiachana naye utakuwa mchoyo wa fadhila.

Break soul ties, don't victimize yourself ati ujione mwenye hatia maana utashindwa kujua nini kinachokufaa kama mfungwa vile, sasa kataa hiyo hali don't be victim but rather victorious, let not the situation defines you or rather don't let it get in the way of your happiness.

yeye hata kama amepata maambukizi sababu yako it's by choice, wewe umepata maambukizi by chance.
Sasa usijipe hatia.

Unapaswa kuishi kwa matumaini sio kudidimiza matumaini yako je nani anakufaa kati ya hao wawili???

Kwenye kufanya uamuzi inabidi you should take greatest risk at a highest profit not greatest risk at lowest profit, please be very calculated ktk kuchagua nani anakufaa sio nani unayedhani atakufaa kwakuwa unampenda na unajua wazi the feeling is not mutual.
 
Dada pole kwa yoote, Mimi nitakupatia ambacho ninacho. HIV+ isikufanye ujione mnyonge. Wewe ni mtu Kama watu wengine. Una haki sawasawa na haki walizonazo wengine .

Sasa naweza kukusaidia kukuelekeza kupata tiba ya HIV+ Kuwa -. Binafsi tumeuguliwa na kakangu na alikuwa + Tena alifikia Hali mbaya kabisa maana alikuwa hataki hata kupima kabisa. Alipofikia hatua mbaya saana, alipimwa kwa lazima ndio tukathibitisha kuwa ni +. Alianza kutumia ARV na Hali yake ikaimarika. Mwisho wa siku Kuna mtu alituelekeza kwa jamaa mmoja wa tiba za asili. Tukampeleka kaka mwaka October, 2018. Alianza kutumia dawa za asili novemba kwa muda wa wiki 3. Kwa kweli tuliona mabadiriko makubwa saana. Na aliambiwa aendelee kutumia ARV mpaka atakapothibitisha Hosp. Kuwa amekuwa negative.

Na inachukua miezi 8 zaidi kuwa negative. Kwa hiyo kaka anatakiwa julai akapime Hosp. Tupate majibu ya uhakika Kama amepona completely au la. Meanwhile, wiki ilopita kajipima mwenyewe kwa kutumia vile vi kit vya kujichanja damu na kudondoshea. Kama vya MRDT, ilionesha amekuwa Negative. Hivyo tunasubiri July ili tufanye vipimo zaidi. Na naweza kukupatia update.

Nadhani Kama ukipona , linaweza kuja tiba yako kubwa kuliko mengine yoote.lakini hata usipopona , bado unaweza kuishi na kutimiza ndoto zako.

Unaweza kunitafuta kama unahitaji maelezo ya ziad
 
Pole sana! Ni hivi, kwa nini unateseka na mtu ambaye hajali na wala athamini hisia zako?
Kama umeshajua mtu ana kucheat na tena sio mara moja piga chini achana kumbembeleza.
Huyo wa pili endelea kumsoma kwa sababu kutoka kwenye urafiki na kuingia kwenye mapenzi kuna mambo kadhaa yanaweza kubadilika.
 
Huyo wa kwanza alishaathirika. Huwezi tembea na muathirika bila Kinga Kama wewe hujaathirika, sio rahisi.
Fuata moyo wako, ukiishi sababu ya kumpa mtu furaha utateseka sana.
 
Kwa afya yako unatakiwa uishi kwa furaha bila stress achana na huyu mfuate rafiki na ufunge ndoa kabisa.
Uliza woote waliokuwa kwenye ndoa watu huwa hawaolewi au kuowa wale waliowapenda Sana wao, yule anayetokea katikati huwa ndiyo ndoa yenyewe.
Olewa na huyo rafiki.
 
Dada nadhani kuna vitu unakosea, you have wrong holds and strong holds. Tatizo unafikiri kupendwa kwako ni kama zawadi tu, sasa yeye hana mapenzi ya dhati (huyo wa kwanza) ila anavyo ku treat na wewe unavyotafsiri ni kama huruma tu its just a pity, sasa ni kama mnahurumiana hiyo imekwenda mbali mpaka unajiona ukiachana naye utakuwa mchoyo wa fadhila.

Break soul ties, don't victimize yourself ati ujione mwenye hatia maana utashindwa kujua nini kinachokufaa kama mfungwa vile, sasa kataa hiyo hali don't be victim but rather victorious, let not the situation defines you or rather don't let it get in the way of your happiness.

yeye hata kama amepata maambukizi sababu yako it's by choice, wewe umepata maambukizi by chance.
Sasa usijipe hatia.

Unapaswa kuishi kwa matumaini sio kudidimiza matumaini yako je nani anakufaa kati ya hao wawili???

Kwenye kufanya uamuzi inabidi you should take greatest risk at a highest profit not greatest risk at lowest profit, please be very calculated ktk kuchagua nani anakufaa sio nani unayedhani atakufaa kwakuwa unampenda na unajua wazi the feeling is not mutual.
Akili kubwa #fact
 
Back
Top Bottom