Umesema upo njia panda unaenda ulaya??? Au mi sijaelewa???
Dah nimecheka aisee..
Njia panda ya kwenda ulaya....teh atakuwa kwakwama kisiwani.
Part One niliimisi hata part two nimeshindwa kukuelewa vizuri
Unapswa kulipa mahari! Uoe buree! Nampongeza binti anajitambua! Tafuta wazee wa heshima waeleze, then uwaombe wabembeleze (wawasihi) wakwe zako wapokee mahari japo kidogo. Haiswihi kupewa mke kama "lijamanda"
Part One niliimisi hata part two nimeshindwa kukuelewa vizuri
Umesema upo njia panda unaenda ulaya??? Au mi sijaelewa???
Hao wanafunzi mbona watakoma......yani story haieleweki inaanzia wapi na kuishia wapi.Mwl hata uandishi taabu khaaa