Cruel mpole
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 282
- 106
Cha Arusha.
Ndio nnn
Cha Arusha.
Kazi imesharahisishwa hapo ni mistari tuaendelee tu kushoto...
njia panda mikumi au tukuyu? shit
Asalaam wana jf.
Jamani mimi nipo njia panda,nashindwa kujua njia iliyosahihi,kulia ama kushoto?ebu naombeni ushauri wenu,nipite njia gani,ama nisubiri hapahapa nilipo mpaka Maulana atakapopenda kunijuza njia iliyosahihi.
N.B:Nimetoka kulipuliza chooni,tena lilikuwa fantom laukweli,ukichanganya na ile kali.Yaani ni burudaniiiiii....