Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,367
Nilikuwa na mke akapatwa na ugonjwa lakn nikafanikiwa kumuuguza na akapona ila akaniambia hana ham ya tendo la ndo lakn baada ya wiki nikasafir kikaz kumbe mke wangu anauhusiano na rafki yang niliporud akaniambia bado hana ham kabisa nikawa namwacha lakn sk1 nilikuwa kazn usk nikapgiwa sim na mtu nisie mjua akanambia nenda nyumban kwako kajionee uchafu wa mke nikaenda na nikawafumania kweli iliniuma sana skuwafanya lolote badala yake nikamwamuru aondoke kwang si mke wang tena baada ya miez mitano akaja kwa mama yangu kumwomba amwombee msamaha ili turudiane nae mama ananiambia nimsamehe , lakn moyo wangu hautaki hata kumwona. Naomben ushaur wenu