shalolizo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2013
- 336
- 204
Jamani nimefika kwenu kuomba ushauri wenu,,mm nina mpenzi ambaye nampenda sana,,tatizo ni kwamba hivi karibu nimegundua dem wangu ni kicheche sana,,yani kagegedwa na wanaume kama wa 5 hivi ila mm bado nampenda,,hata mm pia ni kicheche wa kiume maana nimeshapiga madem wengi mpaka wengine nimewasahu,,ila dem wangu hajui kama mm ni kicheche sasa yeye anaogopa kurudiana na mm sababu mm nimejua kwamba yeye ni malaya anahisi kwamba nitamrevenge,,naomba ushauri wenu