mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 959
Hivi nyie ukawa c mlishakubaliana humu msiwe mnaangalia tbc wala star tv?asa imekuaje tena mmepatwa na kisabengo cha kuangalia tbc yetu?
Kwani nyumbu wana kumbukumbu basi?
Hivi nyie ukawa c mlishakubaliana humu msiwe mnaangalia tbc wala star tv?asa imekuaje tena mmepatwa na kisabengo cha kuangalia tbc yetu?
hiki chama ni janga kuu la kipekee kabisa lililowahi kulikumba hili taifa.
Si mlishapeana Ushauri msiangalie TBC kwa nini hamuheshimu makubaliano yenu wenyewe mlioamua kwa hiyari yenu?
Pengine amelipia tusitangaze sana chuki kama hatuna uhakika