Pengine amelipia tusitangaze sana chuki kama hatuna uhakika
CCM hawafai kuiongoza nchi hii.WAooo ndio wezi na wavunja sheria wakuu
Wanajamvi heri ya sikukuu ya Nyerere Day,
Nipo nyumbani naangalia TBC naona tangazo la Magufuli anaomba kura. Nikakumbuka wakati kampeni zinaanza kuna bango la Lowassa lilitolewa pale sokoni Kariakoo kwa madai kuwa soko ni mali ya umma kwa hiyo halifungamani na upande wowote kwa mantiki hiyo hakuna ruhusa ya kuweka mabango ya kisiasa kwene soko hilo.
Sasa leo naona tangazo la Magufuli TBC akiomba kura. Najiuliza hii TBC si ni mali ya umma pia. Inawezaje kujihusisha na matangazo ya kisiasa, ikiwa inaendeshwa kwa kodi za wananchi na siyo kibiashara. Je, tofauti ya TBC na shirika la masoko la Kariakoo katika umilikiwaji wake nini?
Nawakilisha.

Usijidanganye. Baada ya Chadema kununuliwa na Lowassa (kwa bei ya jumla) mwisho bado uko mbali sana.Mwisho hauko mbali
Usijidanganye. Baada ya Chadema kununuliwa na Lowassa (kwa bei ya jumla) mwisho bado uko mbali sana.