Nipo Moshi, nauza kuku aina ya Kuchi

Nipo Moshi, nauza kuku aina ya Kuchi

Siwezi poteza mda kubisha na watu wasiojielewa hizo ni tabia za kike ww ongea unachotaka kuongea mm hainisumbui kitu wala sipotezi mda kukujibu mm sina tabia za kike kama ww.

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka bei bwashee, hayo yote yamekuja baada ya wewe kushindwa kuweka bei wazi!

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Tatizo sio kwamba sitaki kuweka bei ila najaribu ku avoid comment nyingine za watu ambazo hazina maana,watu wananipigia nawapa bei.maana unaandika kuchi anauzwa laki na nusu au zaidi mtu anajibu comment kwa kusema "kwan amekua ngombe". watu washaambiwa kuchi hafugwi kwa ajili ya nyama na ukifuga kwa ajili ya nyama lazma upate hasara.kuchi tunafuga kwa ajili tunapenda hii breed kwa sababu ni unique sawasawa na watu wanaofuga njiwa maana kuna njiwa wanauzwa hadi laki 2 sasa hauwezi sema umefuga kwa ajili ya nyama ni kwa ajili unapenda hiyo breed coz ni unique.Mtu akitaka kuku kwa ajili ya nyama basi kuna majogoo makubwa sokoni yanauzwa kwa bei rahisi ya elfu kumi na tano,ukifuga kuchi kwa ajili ya nyama lazma upate hasara tena kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom