Kevin5000
Member
- Mar 20, 2019
- 13
- 3
kuku aina ya kuchi original 0679228374 Jogoo 150,000Tsh,Tetea 120,000Tsh
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
unapatikana wapi na bei yako ikoje?Nauza kuku aina ya kuchi original 0679228374View attachment 1049739View attachment 1049741
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hakuna kuchi original wa bei hiyo labda kuchi wale waliochanganika na kuku wa kawaida,kifaranga original hata kwa bei hiyo hauwezi pata mkuu.
Weka bei tufanye biashara nataka tetea 10.na.jogoo 2.nipo Majengo
Mkuu watu wanataka kujua bei,, unashindwa nini kuweka bei!?,,,
Ana kuku wawili tu wa magendo halafu anajifanya anafuga kukuMleta mada ni murere
Umurere wake uko hapa hataji bei.
Mbna unaropoka kama mwanamke!! Utakuja kuolewa ww,sasa unataka niposti ambao siko tayari kuwauza? Hao ndo nawauza.