Hili vibe la uchagani na upareni this time sio poa wanangu
Yaani toka nimefika huku ni mwendo wa kulewa tu
Watu tunalewa hadi miguu inakosa nguvu magari tunasaidiwa kuyadrive oya sio poa
Uchawi ni hangover sio kwa ninavyochanganya madude
Moshi imejaa kinomaa machali wapo moto kinoma mazee