Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,484
- 2,952
kama kichwa kinavyojieleza nipo hapa sua morogoro nahitaji laptop mpyaa kwa dau hilo.
Mtafte jamaa ni mashuhuri hapo kwakuwauzia wanafunzi na malecturer wa sua laptops anaitwa nazir katabaro ukiuliza watakuunga nayekama kichwa kinavyojieleza nipo hapa sua morogoro nahitaji laptop mpyaa kwa dau hilo.