life style
Member
- Jan 5, 2019
- 8
- 8
Usimpotezee mda huyo mwanamke muache akapate atakaye mpenda.mwanzo sikuwahi kumpenda kwa
Sister Kuna viumbe wanatembea na laana kwa kweli miaka miwili uko na binti wa watu, wanaume wangapi walio kuwa na nia ya huyo mwanamke kamkosesha bahati, Jitu kama hili ukija kufunga nae ndoa ni nuksi tupu ndani ya nyumba.Ni heri umwambie humfeel chochote kile akajua mwenyewe asuke au anyoe
Mnaishi kimazoea ndio mana, anatakiwa kua mbunifu, yan mnaishi kiasi ushajua akifanya hiki next ni hiki kiasi ukaanza kupoteza interest nae
Jaribu kufikir mara mbili, huko unakotaka kwenda una guarantee gani kwamba utaezana naye mkafunga ndoa??
Maisha ya ndoa sio lele mama,jaribu kufikiri unataka nn ufanyiwe nn jaribu kukaa nae chini mtatue tatizo lenu kama utaona hisia zimepotea zaidi muache dada wa watu aende.
halaf kuna watu ukiwa nao maisha yako yanakunyookea kama alivyosema huyo mwanamkw wa watu nyota zao zimeendana yeye tu saa hizi kapata wa kumzuzua ndio mana anaona uwepi wa dada wa watu unamkeraSister Kuna viumbe wanatembea na laana kwa kweli miaka miwili uko na binti wa watu, wanaume wangapi walio kuwa na nia ya huyo mwanamke kamkosesha bahati, Jitu kama hili ukija kufunga nae ndoa ni nuksi tupu ndani ya nyumba.
Kaona kashapata visent anawaza kumuacha mtu usiye kuwa na hisia nae huwezi kudumu nae miaka 2.halaf kuna watu ukiwa nao maisha yako yanakunyookea kama alivyosema huyo mwanamkw wa watu nyota zao zimeendana yeye tu saa hizi kapata wa kumzuzua ndio mana anaona uwepi wa dada wa watu unamkera
atalipwa stahiki yake muda ukifika huko anakotaka kwenda sidhani kama ni kwema zaidi ya alikotokaKaona kashapata visent anawaza kumuacha mtu usiye kuwa na hisia nae huwezi kudumu nae miaka 2.
Umeongea ukweli kabisa two years afu huna hisia nae labda ana matatzo huyu jamaaKaona kashapata visent anawaza kumuacha mtu usiye kuwa na hisia nae huwezi kudumu nae miaka 2.
Factatalipwa stahiki yake muda ukifika huko anakotaka kwenda sidhani kama ni kwema zaidi ya alikotoka
..tumekutana wakati tayari nimeshapata kazi na yy ana kaz yake..kuhusu kuchangia mafanikio yangu hapana..Amechangia mafanikio yako alafu umwache?
Acha akili za kichadema hizo, mapenzi ya kwenye filamu hayapo kwenye real world.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwahi kufikiria kama tutadumu hata kwa miez sita..ilikuwa niamshe kisela nipite hiv sema mazingira na mazoea nikajikuta nipo had sasa hiv...na kiasi flani ni mwema kwangu ndio maana najifeel guilty kuna wakt kumuacha aende...kuna wakti had naombea yy ndiye aniache mimiVijana mkipata pesa tu mnasahau makoloni yenu ya nyuma[emoji41][emoji265][emoji41]
kama ulikua humpend si ungemuacha mapema mkuu
..hiko unachosema ndio kinaniweka kwenye dilemma ,..nashindwa kumuacha aende kwa sababu sijui mbelen nitapata mtu wa aina gan ..at least huyu tayar namjua strength na weakness zake lakin hapo hapo kuna wakt naona kabisa najilazimisha kuwa nae had na yy ameanza kuhisi hivyo..Ni heri umwambie humfeel chochote kile akajua mwenyewe asuke au anyoe
Mnaishi kimazoea ndio mana, anatakiwa kua mbunifu, yan mnaishi kiasi ushajua akifanya hiki next ni hiki kiasi ukaanza kupoteza interest nae
Jaribu kufikir mara mbili, huko unakotaka kwenda una guarantee gani kwamba utaezana naye mkafunga ndoa??
Maisha ya ndoa sio lele mama,jaribu kufikiri unataka nn ufanyiwe nn jaribu kukaa nae chini mtatue tatizo lenu kama utaona hisia zimepotea zaidi muache dada wa watu aende.