Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,304
- 29,843
Acha utani basi huna mawazo tuliza makalioLipia kwa bando! Haiwezekani uwe uwezo wa kuingia kwenye server ya Dunia halafu huna nauli ya daladala?!
Elewana na konda ukapumzike kwake mpaka asubuhiJamani nipo kwenye dalalada natokea posta naenda gongolamboto mda huu, nimeangalia mifuko yote nilikuwa na buku lakini siioni sijui nilidondoshea wapi na konda mda huu ndoanasanya nauli afu ana uso mzito wa hasira ya kupanda kwa bei ya wese. Jamani Naombeni ushauri wa haraka nitumie technic gani nijinusuru na hii fedheha.
Naomba mawazo yakoaisee pole sana mwamba
ningekua karibu ningekusaidia
Nisaidie mawazo au pesa mkuuNa konda anahasira za kuachwa..
Kuna mtu anaenda nyumbani hana shati Leo..
Konda anaenda kula 0 positionNisaidie mawazo au pesa mkuu
Acha shati ndugu hakuna namna..😂Nisaidie mawazo au pesa mkuu
Angekua na shanga kiunoniHuwezi kosa "hit and run" kwa usiku huu.
Jiongeze hata ikibidi anza kurembua macho mapema kabla konda hajakufikia.
Mkuu una majanga, hivi wewe si ndiye uliwapeleka dada zako dar wakaagiza bia za bei ghali?Jamani nipo kwenye dalalada natokea posta naenda gongolamboto mda huu, nimeangalia mifuko yote nilikuwa na buku lakini siioni sijui nilidondoshea wapi na konda mda huu ndoanasanya nauli afu ana uso mzito wa hasira ya kupanda kwa bei ya wese. Jamani Naombeni ushauri wa haraka nitumie technic gani nijinusuru na hii fedheha.
Ndomm mkuu msaada tafadhariMkuu una majanga, hivi wewe si ndiye uliwapeleka dada zako dar wakaagiza bia za bei ghali?
Kaoge maji ya bajarini