Nipo kwenye dalalada naangalia nauli nimedondosha Naombeni msaada wa haraka

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,278
29,775
Jamani nipo kwenye dalalada natokea posta naenda gongolamboto mda huu, nimeangalia mifuko yote nilikuwa na buku lakini siioni sijui nilidondoshea wapi na konda mda huu ndoanasanya nauli afu ana uso mzito wa hasira ya kupanda kwa bei ya wese.

Jamani Naombeni ushauri wa haraka nitumie technic gani nijinusuru na hii fedheha.
 
Jamani nipo kwenye dalalada natokea posta naenda gongolamboto mda huu, nimeangalia mifuko yote nilikuwa na buku lakini siioni sijui nilidondoshea wapi na konda mda huu ndoanasanya nauli afu ana uso mzito wa hasira ya kupanda kwa bei ya wese. Jamani Naombeni ushauri wa haraka nitumie technic gani nijinusuru na hii fedheha.
Elewana na konda ukapumzike kwake mpaka asubuhi
 
Jamani nipo kwenye dalalada natokea posta naenda gongolamboto mda huu, nimeangalia mifuko yote nilikuwa na buku lakini siioni sijui nilidondoshea wapi na konda mda huu ndoanasanya nauli afu ana uso mzito wa hasira ya kupanda kwa bei ya wese. Jamani Naombeni ushauri wa haraka nitumie technic gani nijinusuru na hii fedheha.
Mkuu una majanga, hivi wewe si ndiye uliwapeleka dada zako dar wakaagiza bia za bei ghali?
Kaoge maji ya bahari.
 
Mwambie utampa ukishuka ulisahau kutoa kwa wakala.
Ukishuka unazuga unamcheki wakala wa karibu unakula kona hukohuko juu kwa juu
wakati mwingine hili jiji la Dar linaitaji uwe mafioso
 
Sema Kwa sauti Bwana Yesu asifiwe Sana.

Igiza kama mtumishi wa Mungu unatoa neno la uzima wa milele.
Nauli hutolipa na mwisho sadaka pia utapewa.
 
Back
Top Bottom