Dancani JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 796 Reaction score 403 Aug 9, 2013 #21 kizeze said: Hapa madukani karibu na A'Z Point Pub Click to expand... Looll kweli wewe upo kigoma, ilikuwa mitaa yangu ya kujidai wakati nipo huko, na huyo mdau aliyesema ukaribie kibitizi, ni Kibirizi na sio kibitizi
kizeze said: Hapa madukani karibu na A'Z Point Pub Click to expand... Looll kweli wewe upo kigoma, ilikuwa mitaa yangu ya kujidai wakati nipo huko, na huyo mdau aliyesema ukaribie kibitizi, ni Kibirizi na sio kibitizi
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,608 Reaction score 64,455 Aug 9, 2013 #22 Kama ni huko mi siji endelea na sikukuu salama. Lady doctor said: kwa mmiliki halali Arushaone hao wengine wasubiri Xmas na mwaka mpya Click to expand...
Kama ni huko mi siji endelea na sikukuu salama. Lady doctor said: kwa mmiliki halali Arushaone hao wengine wasubiri Xmas na mwaka mpya Click to expand...
Arushaone JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,235 Reaction score 13,539 Aug 9, 2013 #23 Lady doctor said: kwa mmiliki halali Arushaone hao wengine wasubiri Xmas na mwaka mpya Click to expand... .....Tena ya mwaka 2100..miaka 87 ijayo!!
Lady doctor said: kwa mmiliki halali Arushaone hao wengine wasubiri Xmas na mwaka mpya Click to expand... .....Tena ya mwaka 2100..miaka 87 ijayo!!
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Aug 9, 2013 #24 Arushaone said: .....Tena ya mwaka 2100..miaka 87 ijayo!! Click to expand... hahahaaa...! Umenifurahisha mpenzi
Arushaone said: .....Tena ya mwaka 2100..miaka 87 ijayo!! Click to expand... hahahaaa...! Umenifurahisha mpenzi