SurveyorEngineer
Mbona viatu vya kike?Nikikuambia mimi ni huyo utakataa?
kweli lakini.........Enzi hizo unachagua sasa? Unavalishwa tu.
Wa baadaeEngineer
Ni kwa lengo jema tu maana kila siku tunavumbua rasilimali mpyaTCU na HESLB mkopo unahitajika harakaaa
Nikikuambia mimi ni huyo utakataa?
Hapana siwezi kukataa sana sana nitakuamkia shikamooNikikuambia mimi ni huyo utakataa?
Kama uliota. Mi ni meneja wa Bar yangu mwenyewe.