Nipo Iringa,natafuta Girlfriend

Nipo Iringa,natafuta Girlfriend

nasikia kuna Iringa vijijini na mjini sasa wewe uko wapi mkuu??? kuwa direct nao wataku-PM direct.
 
Iringa hivi ulanzi sikuhixi haujakauka kweli, maana hao ukimnunulia lita moja tu basi, ngoma inoigile ikwidikila
 
nenda makete mpwa unavuta wala utafuti
 
Mafinga pale ni wengi sana mpka wale wa Tanga wameonekana kule, nafikiri ile biashara ya mbao kusafirishwa kwenda nje imeleta hao malkia aiseee,, ebu tembelea hapo ujionee mbona iringa na hapo sio mbali ni 80KM tu
 
Nenda mtaa wa CCM kwenye vibanda vya kitimoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom