Nipo Bunda kupumzika

Nisalimie binti mmoja wakikoma anaitwa Angel, alinikilimu vizuri sana miaka fulani hapo, binti mtamu kweli na burudani anaiweza.. Sio mbaya nilimuacha vizuri naye kama asante yake.

Pongezi nyingi sana kwa Wadigo, Wazaramo, Wakwere, Waluo na Wakoma.

Pale kisorya wale wachoma nyama bado wapo? Dah nyama inachomwa pale aisee.
 
Waikoma wakarimu kama tanga vile.....haukubatika kufika ikoma robanda?
 
Bado nipo hapa bunda mjini kwa mwenyeji wangu na nitakaa hapa kwa siku 3 zaidi ndipo ntarejea mwanza
 
Inaonekana mji umepangika vizuri kuliko buguruni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…