Stephano Shahidi
Member
- May 28, 2023
- 61
- 79
Usirudie tena kushauri wanandoa waachane🤣 We mpe Moyo japo kinafiki, anayeamua kuacha hahitaji ushauri....Wanapendana hao.Arudi kufanya nini mchawi huyo?
Badala umshukuru Mungu unataka ushauri kumrudisha
hiyo ndoa yako ni ya aina gani? I mean mlifungia ndoa yenu wapHabarin wadau
Mm ni mwanandoa mwanaume, Nina watoto wawili, na kwa Sasa mkewangu ana ujauzito. Niko pekeyangu mkewangu yuko mbali nami kutokana na kuachana nae kwa sababu zisizojulikana kutokana na yeye kuficha sababu maalum na kutokutaka kukaa kikao chochote na wazaz wangu wala wa ukweni. Kapangayuko kwake.
Nikijiuliza kwa kina mtoto wa pili hatukumwita jina la mama mkwe, akidai mkewangu mama yake ni mshika dawa Sana tusimwite mtoto jina lake, alipata ujauzito ukatoka kwa kupandisha mizimu yaani ukatolewa kimizimu kwan sikutakiwa kufanya nae tendo siku hiyo, akaniambia hatokuja kuzaa tena halafu wamemwonea pia ili mimba ile iendelee kuwepo ningewasikiliza mizimu kwavile niliamua kufanya tendo nilikaidi ndiyo maana ujauzito ulitolewa.
alianza kujiagua kwa waganga wa kienyej hatimae nilimpa ujauzito tukiwa kwenye mtafaruko wa kindoa akiwa kapanga nam nikiwa nyumban(alikuwa anakuja na kuondoka)
baadae aliamua kutokurudi kabisa na kuamua kupanga na kulea ujauzito huko aliko
swali je nitumie njia gan arud au ni nn kinachofanyika kisiri?
ushauri tafadhali kwa wanaojua kiundani.
Kumbe kuna wanawake mnaoshauri hivi.Usirudie tena kushauri wanandoa waachane🤣 We mpe Moyo japo kinafiki, anayeamua kuacha hahitaji ushauri....Wanapendana hao.
Anyway kwako mtoa mada usiwe na haraka ya kumrudisha mkeo, subiri mtoto azaliwe, akifanana na wewe atarudi mwenyewe, asipofanana na wewe tafuta Chaka lingine.
Tatua kwanza tatizo la ushirikina wa mkeo.Habarin wadau
Mm ni mwanandoa mwanaume, Nina watoto wawili, na kwa Sasa mkewangu ana ujauzito. Niko pekeyangu mkewangu yuko mbali nami kutokana na kuachana nae kwa sababu zisizojulikana kutokana na yeye kuficha sababu maalum na kutokutaka kukaa kikao chochote na wazaz wangu wala wa ukweni. Kapangayuko kwake.
Nikijiuliza kwa kina mtoto wa pili hatukumwita jina la mama mkwe, akidai mkewangu mama yake ni mshika dawa Sana tusimwite mtoto jina lake, alipata ujauzito ukatoka kwa kupandisha mizimu yaani ukatolewa kimizimu kwan sikutakiwa kufanya nae tendo siku hiyo, akaniambia hatokuja kuzaa tena halafu wamemwonea pia ili mimba ile iendelee kuwepo ningewasikiliza mizimu kwavile niliamua kufanya tendo nilikaidi ndiyo maana ujauzito ulitolewa.
alianza kujiagua kwa waganga wa kienyej hatimae nilimpa ujauzito tukiwa kwenye mtafaruko wa kindoa akiwa kapanga nam nikiwa nyumban(alikuwa anakuja na kuondoka)
baadae aliamua kutokurudi kabisa na kuamua kupanga na kulea ujauzito huko aliko
swali je nitumie njia gan arud au ni nn kinachofanyika kisiri?
ushauri tafadhali kwa wanaojua kiundani.
Wew inavyoonekana umepatia sawa sawia, nikupe kisa kimoja; siku moja niliamka usiku nae alikuwa macho usiku huo, nikamwuliza mbona uko macho akasema aliamka usiku huo ghafla akajikuta yuko njiani akiwa na fahamu zake akitembea kuelekea kwenye mkusanyiko wa watu Kama watano au wanne hiv akiongozana na bint aliejifunga nguo nyeus walipofika waendako akapewa kaz ya kupika alianza kupika mboga za majan walipoanza kuonja alikasirika baadae akaambiwa yule bint amrudishe mkewang nyumban walianza kurudi. Mkewang alijikuta yumo chumban mwang amelala akiwa amesimamiwa na yule bint. Yule bint akamwambia wewe lala tu usiogope, bint akatoweka. Mkewang akabak macho anaogopa kulala pengine atarudishwa kule alikopelekwa, ndipo nami niliamka na kumkuta yuko macho.Arudi kufanya nini mchawi huyo?
Badala umshukuru Mungu unataka ushauri kumrudisha
Naona ushirikina hapa, unamsaidiaje atoke huko ,na inaonekana mkeo nii mzoefu na hajui kutoka katika hiliWew inavyoonekana umepatia sawa sawia, nikupe kisa kimoja; siku moja niliamka usiku nae alikuwa macho usiku huo, nikamwuliza mbona uko macho akasema aliamka usiku huo ghafla akajikuta yuko njiani akiwa na fahamu zake akitembea kuelekea kwenye mkusanyiko wa watu Kama watano au wanne hiv akiongozana na bint aliejifunga nguo nyeus walipofika waendako akapewa kaz ya kupika alianza kupika mboga za majan walipoanza kuonja alikasirika baadae akaambiwa yule bint amrudishe mkewang nyumban walianza kurudi. Mkewang alijikuta yumo chumban mwang amelala akiwa amesimamiwa na yule bint. Yule bint akamwambia wewe lala tu usiogope, bint akatoweka. Mkewang akabak macho anaogopa kulala pengine atarudishwa kule alikopelekwa, ndipo nami niliamka na kumkuta yuko macho.
MaombiHabarin wadau