try6825
Member
- Mar 25, 2021
- 96
- 218
Nenda nacho pole pole, katajaaa tuWakuu kuna kademu kamoja kajirani kangu ni kazuri kinoma ni kasukuma, haka kademu uwa kanakuja kwangu kuniomba muvi sasa cha ajabu uwa nakagoma kuingia ndani, nina mawasiliano nacho kama siku 4 hivi jana nikaambia nauma asubuhi kamenipigia na kunipa pole nikaambia leo nikione nimekumiss kakajibu ntakuja. Na mimi nimekumiss, kweli kamekuja kuniona ila kama kawaida kanakaa nje, wakuu nitumie mbinu gani kukapata,
Maana nimeogopa kukatongoza mapema,