donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
eti,ww ni muuza duka,kaja mteja
anahitaji kilo moja ya sukari,ila ww
una jiwe la kilo 10 na lingine la
kilo 7.
Utafanyaje apate hiyo kilo moja
anayoitaka?
PIMA KILO 21 kwa kutumia jiwe la 7kg mara 3.
BAADA YA KUPATA KILO21 pima kilo 20 kwa kutumia jiwe la kilo 10 mara mbili kutoka kwenye kilo 21.
itakayobaki ni kilo 1 mpe mteja wako
Jaalia uzito wa:
sukari= x
mawe= y
halafu
10x = 10y
7x = 7y
kwa hiyo
10x-7x=3x
3x+3x=6x
7x-6x=1x
1x=1kg ya sukari
PIMA KILO 21 kwa kutumia jiwe la 7kg mara 3.
BAADA YA KUPATA KILO21 pima kilo 20 kwa kutumia jiwe la kilo 10 mara mbili kutoka kwenye kilo 21.
itakayobaki ni kilo 1 mpe mteja wako
Hiyo ni kwenye karatasi Kama tunavyosomeshwa shuleniteh teh teeh, mkuu Akhy D, hivi hizo x na y bibi pale kijijini si ataona inataka kumuibia?
Hongera mkuu derlevi2005, naona jibu lako limetulia. Mwalimu wa kusahihisha sijui kaishia wapi....??
Ukiambiwa 7x maana yake ni kilo Saba za sukari na 7y ni jiwe la uzito wa kilo Saba.ume2koroga kidogo teacher.make an explanation on ur 4mular
Safi sana mkuu, its a correct answer
Safi sana mkuu, its a correct answer
Khaa mie mahisabati yananikeraga
Assumption nyingine ni kupima kilo kumi mara tano then katika hizo kumi unatumia jiwe la kilo 7 kupima mara 7 (10x5=50, 50-(7x7)=1).
Mie nikiona hethabu napata kithunguthungu:crying: