Peter Fabian
Member
- Jul 18, 2011
- 73
- 7
Mi nipo shule bado nasoma ila nataka kufanya biashara ya daladala ili niweze kujiendeleza kimaisha mapema,ni biashara ambayo naipenda kuifanya kutoka moyoni mwangu,kwa yeyote mwenye uelewa na biashara hii nahitaji ushauri wake,ikiwa ni pamoja na mtaji ninaotakiwa kuwa nao na mambo mengine!