Yanasaidia sawa, lakini tuna wajibu wa kuwatunza.
Yaani leo nimechafukwa mpaka KOMWE LINAFUKA MOSHI.
Tunawachukulia poa sana hawa wanyama, tunataka watulinde huku tumelala ndani tukiwa tunajamba na wake zetu LAKINI hatuchukui jukumu la kuwatunza.
Unamsikia mtu ati oooh mimi nataka mbwa mkalii, mbwa mwenye maguvu kama GERMAN SHEPHERD, THUBUTUUU!!!
Mbwa halishwi, hapewi dawa, hasafishwi, amejaa minyoo tumboniiii, halafu akulinde, tena ati awe mkali, wewe umelala ndani UNAJAMBA!!