N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,202
- 10,438
Nimekaa hapa nikawa natafuta details za hizo wilaya mpya mbili za Dar, hebu niambie/nichoree ramani ya hizo wilaya mbili mpya.Na je wilaya za zamani zinaishia wapi. Na wapi yaliko makao makuu ya wilaya hizo mpya mbili.
Karibu unisaidie kufahamu.
Karibu unisaidie kufahamu.