Mdau wa muziki wa kikongo nakusalim, nina shida na nyimbo nzuri za kikongo nidownload kwa ajili ya kuburudika tu.
Kwa sasa ninazo hizi,
1. Mario - Franco
2.Pesa position - Madilu
3.Yesu Kristu- Kanda Bongoman
4. Nadina- Mbilia Bel
5.Nakei Nairobi- Mbilia Bel
6.Ngungi- Franco & Tabuley
7.RTC Riva- Madilu System.
Niongezee tafadhali.
Mamou-Luambo Franco
Kolza wangu- Defao ft Suke Chille
Andrada- Koffi Olomide Papaa Mopao
Abracadabra- Koffi
Famille Kikuta-le Generally Def Defao
Marina-Samba Mapangala
Force de frappe- Koffi
Ultimatum-Koffi