Hivi unajua kwamba nakupendaga sana?
Yaani usiku silali nakuwaza wewe tu
Nikinywa maji nakuona kwenye jagi
Yaani wewe unanimaliza kabisa
Tafadhani likubalie uwe mupenzi wangu ....lol!!!!!!
Hivi unajua kwamba nakupendaga sana?
Yaani usiku silali nakuwaza wewe tu
Nikinywa maji nakuona kwenye jagi
Yaani wewe unanimaliza kabisa
Tafadhani likubalie uwe mupenzi wangu ....lol!!!!!!
hivi unajua kwamba nakupendaga sana?
Yaani usiku silali nakuwaza wewe tu
nikinywa maji nakuona kwenye jagi
yaani wewe unanimaliza kabisa
tafadhani likubalie uwe mupenzi wangu ....lol!!!!!!
Kauli hii madada huwa wanatoa kama bado unatongoza kwa njia ya kizamani ya "kuimbisha songi"
Lkn kama utaongea nae leo vyema,kesho ukaenda na zawadi yake ya Iphone 5s na kesho kutwa umemjazia salio la mwezi mzima kwenye simu yake na jioni yake unampa kabahasha ka kaki kuchungulia wamejaa "wekundu wa Msimbazi" unahisi bado atakuambia ngoja nikafikirie?
THUBUTU!
problem here si kukubali ni watu kutokujua wanahitaji nini?
umevutiwa na ninj?
if someone accept u on stop its nice kuzungushana ya nini bad thing enough demu anakuzungusha miezi lakin kama ni malaya ni tabia yake its cana not change any thing.... if u fil some one and your sure just say yes.....
miaka 52 ya uhuru bado kuzungushana kwenye kutongozana utakuwa huna kazi ya kufanya
Mpe muda afikirie
ww askofu unafanya nn humu si ukahubir din bwanaa
tunafikiria tu kama wewe ni mtu sahihi na utayari wa kuingia katika hayo mahusiano. mara nyingine tunahitaji kuwafahamu japo kidogo, kuona kama tunaweza endana ama au tutashindwana kabla hatujaanza mahusiano rasmi.
ila siku hizi mna haraka kama ushuzi, hamna subira hata kidogo. mie nikiona una haraka sana najua hunifai. kuku wako manati ya nini? subiri aingie bandani umkamate kiulaini.
ila siku hizi mna haraka kama ushuzi, hamna subira hata kidogo. mie nikiona una haraka sana najua hunifai. kuku wako manati ya nini? subiri aingie bandani umkamate kiulaini.