Nipe muda nikafikirie

njo pm chap chap, nna hamu ya kutongozana... ila utanipa muda nifikirie eeeh?

Mbona nishatangulia PM na sikuoni?

Hapo kwenye kufikiria ndio tatizo
Mi nataka leoleo unanipa jibu na papuchi unanipa kesho!
 
Mara ya mwisho kuambiwa nikakufikirie nakumbuka ilikuwa form two. Huku mbele nimekuwa nikizungushwa tu bila jibu lolote ila kuna siku papuchi inaletwa yenyewe! Hapo najua nimeshakubaliwa na mambo mengine yanaendelea. Wa siku hizi ndo kabisaaa, we tuma M pesa tu! Hata kama ulitongoza asubuhi jioni unabeba mzigo. Kila kizazi kina mambo yake.
 
Ukisikia ngoja nikafikirie.......tayari mtu analo jibu tayari.......ni kwamba unaangaliwa uko........(some words are missing).........kiasi gani.......
 
Kauli hii madada huwa wanatoa kama bado unatongoza kwa njia ya kizamani ya "kuimbisha songi"

Lkn kama utaongea nae leo vyema,kesho ukaenda na zawadi yake ya Iphone 5s na kesho kutwa umemjazia salio la mwezi mzima kwenye simu yake na jioni yake unampa kabahasha ka kaki kuchungulia wamejaa "wekundu wa Msimbazi" unahisi bado atakuambia ngoja nikafikirie?

THUBUTU!
 
umeniwahi nilichotaka kusema sis wanawke lazima tufikirie
 
Ha ha.....shostito.......una hakika hiyo ndio word iliyomiss.......???....shauri yako.......

kwako wewe ndio hilo hilo, angekuwa mwingine ningemwekea neno lake. lol
 
hiyo ni biashara sasa, huwezi kumzunguusha. ufikirie umpoteze mteja?
 
Lazima ufikirie unaweza kutana na bonge la tango ikawa shida kulizoeaa banaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…