Nipe Mchoro wa Kuchomoka Bongo

Nipe Mchoro wa Kuchomoka Bongo

Dow

Member
Joined
Aug 3, 2017
Posts
56
Reaction score
34
Wakuu mimi akili yangu yote inawaza Abroad Nipo masomoni bado ila nafikili zaidi kuishi abroad baada ya kumaliza Chuo, Nahitaji Brothers and sister mlioko mataifa mbalimbali nje ya Africa mnipe ABC pa kuanzia ata kama ntafanya kazi out of my professional, Natumia muda mwingi kujifunza lugha na kutafuta marafiki walioko mataifa mbalimbali ili nipate connection chuo pia mambo yanaenda Poa napambana Nasomea Engineering
 
Back
Top Bottom