Hamjambo marafiki! Mimi ni mwanasayansi kutoka Urusi. Zina langu ni Maria. Mnisaidie tafadhali kupeleleza swali hilo. Mniandikie fikra zenu kuhusu jadi na mila za Wabantu na maana ya jadi katika jamii. Nitafurahia kupokea mawazo yenu yo yote. Asante sana!
Ninajifunza Kiswahili miaka 4 hivi, nilikuwa katika Tanzania mwaka uliopita, na sasa naandika insha kuhusu Shaaban Robert, lakini siwezi kutafuta yo yote kuhusi jadi za Wabanti (zilizoandikwa kwa Kiswahili) , kwa hivyo naomba msaada wenu)

Unataka upate mawazo ya mtu yeyote au unataka watu wakupe special sources ukafuatilie!?
Na ukumbuke kuwa wabantu si homogenious, so hutofautiana sehem kubwa pia kwenye jadi zao.